Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

Tumechoka kumuona Baleke akifunga sana tunamwomba na Musonda nae afunge mara kwa mara

usifananishe musonda na Balake huyo musonda kwetu kama kibu tu hana anachoweza kujilinganisha na BALEKE mpk sasa hivi ligi kuu Baleke kaja nusu msimu ana goal 7 huyo Musonda ana ngapi Baleke ni mashine ile 😇 😇 😇
 
Musonda anatokea pembeni, Baleke anacheza kati.

#Case Closed
 
Back
Top Bottom