TUMECHOKA: Sheria mpya zitungwe kuwabana Lecturers vyuoni wanaowalaghai kingono watoto wetu wa kike, mama zetu, wake zetu na wachumba wetu

Kuwe na sheria kabisa, hadi sasa haya mambo sana sana yapo kwenye by laws za vyuoni tu, wanaozisimamia unakuta ni ma lecturers hao hao ama marafiki zao, uchafu unafagiliwq chini ya kapeti, adhabu inakuwa ni kuhamishwa tawi ama kusimamishwa kwa miezi isiyozidi sita, huu ni ujinga tu wala si suluhisho,

Wapigwe pingu, waende gerezani miaka 10,

Kwa hali hii ndio maana wanasemaga usipeleke mke kusoma chuoni, hebu vuta picha tu mke unaetaka kumsomesha hata form 4 tu ana division 4 ama 3 ya kuchechemea, ni dhahiri kabisa huyo hata chuoni umewapelekea chakula lecturers, wakimtaka yani ni kumpunguzia maksi 5 tu kashafeli inabidi atoe tu huo mzigo ili apitishwe.

Unaongea as if ni Jambo dogo Sana kumpunguzia marks mwanafunzi. Kuna rufaa ambapo mwanfunzi asiporidhika na marks huwa ana omba kusahishiwa upya pia anaweza kuomba mapitio ya course work yake.
 
Hili tatizo huwa linakuzwa kuliko uhalisia.

Binti anajua yeye hana uwezo wa kufaulu kaenda kwa lecturer kuomba marks. Mostly hawapewi hizo A mnazizungumzia maybe hivi vyuo na sio vyuo vikuu. Mnaongea hizi mada mara nyingi kwa nadharia tu. Kuna option ya kwenda mahakamani direct au bodi ya usuruhishi endapo unauthibitisho.
 
Kuna mtu alitoa option ety itengenezwe bodi ya mitihani vyuo vikuu kama ilivyo necta nchini. Wazo hili aweza litoa mtu ambae hajasoma aka akafika chuo kikuu au kuelewa dhima halisi ya vyuo vikuu. Hizi nitaasisi ambazo zinafanya kazi ya utafiti na kuzalisha watafiti na wanataaluma. Kuwa na mtihani wa chuo kikuu wa taifa haitakaa iwezekane
 
Turudi hapa kuwa wote ni watu wazima na wanaelewa wanachokifanya. Kama taasisi zitaajili degree za chupi ni udhaifu wa taasisi
 
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.

Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.

Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?

Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.

hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,

Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.

Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.

Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.

Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.

Suluhisho.

Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.

Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.

Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,

Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.

Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
my friend, hao ma lecture ni wachache wanaofanya mchezo wa kuomba hyo rushwa, mabinti ndo huwa wanajipeleka wenyewe ili wanyanduliwe wapate maksi na wakati mwingine wapewe hela ya kusuka nywele
 
Lecturer atamfelishaje Kama uwezo anao?

Kwani hicho chuo hakina bodi ya rufaa scipt ikasahihishwe na lecturer mwngine?

ASILIMIA kubwa
Ya wanaogongwa na lecturer Ni wale mabinti vilaza, afu huwa wanajilengesha wenyewe ili waliwe.
Kuna ukweli fulani kwenye haya maelezo yako.

Hili tatizo ni la pande zote! Kuanzia kwa baadhi ya Wakufunzi wakware, wanafunzi vilaza, wanafunzi wapenda mteremko, na pia serikali/chuo kuweka mfumo mbovu wa usahihishaji wa hiyo mitihani ya wanachuo.

Kwa hiyo tukisema tuweke sheria kali dhidi ya wakufunzi waharibifu pekee, bado tutakuwa hatuja tatua hilo tatizo kwa 100%. Jambo la msingi ni kifanya utafiti wa kina, ili tujue chanzo hasa cha tatizo, na namna bora kabisa ya kulimaliza
 
my friend, hao ma lecture ni wachache wanaofanya mchezo wa kuomba hyo rushwa, mabinti ndo huwa wanajipeleka wenyewe ili wanyanduliwe wapate maksi na wakati mwingine wapewe hela ya kusuka nywele
wakishanyanduliwa na hzo marks sometimes hawapati [emoji23]
 
Kwenye hili tusiangalie tu malecturer kutumia vitisho kulazimisha kichanuliwa mapaja ya mabinti zetu, wake zetu, mama zetu, dada zetu, n.k. bali tulaumu pia nguvu aliyo nayo lecturer inayofanya mabinti kuingia tamaa ya kujitupa wenyewe kwa ma lecturer ili wapewe majibu ya mitihani, kuongezewa maksi, kupata upendeleo kutoka kwa lecturer kuzidi wanafunzi wengine, kupewa A au B za chupi wanapopata F za kwenye dawati, n.k.

Na wahanga wakubwa ni wanafunzi wa kike wenye uwezo mdogo wa kufaulu, hawa hata kujitetea inakuwa ngumu.

Kuna Kisingizio cha kipuuzi eti wote ni watu wazima, hivi tuchukulie mfano askari anambambikia binti kesi ila anamuomba penzi ili amuachie, binti akitoa penzi hapo kisingizio ni watu wazima ? Binti kakamatwa na kosa ila kwa kuona kwamba askari ndie anaeweza kumwachia anamshawishi askari wafanye mapenzi ili aachiwe, hapo kisingizio ni watu wazima ?

Lecturer ana power ya kufelisha wanafunzi hasa wale ambao wakifaulu hawazidi maksi 50, hapa lecturer anaweza kucheza na kalamu kufilisi hata maksi 12 za mwanafunzi ili afeli, Lakini pia wanaweza kufaulisha hata wanafunzi wanaopataga matokeo mabaya kwa kuwapa mitihani na majibu kabla ya kuufanya na wanafunzi wengine ama kusahisha wanavyojua wao. Kwa hali hii Lecturers wanajikwapulia wanafunzi wa kike kwasababu ya power waliyo nayo ya kuamua hatma ya mwanafunzi na wanafunzi pia wa kike wakiona mambo yanaenda kombo wanaingia tamaa ya kuanza kujiuza miili yao kwa lecturers kwajili ya maksi.

hakuna mapenzinya hiari bali kuna power ya lecturer kufelisha ama kufaulisha,

Lecturer akiomba penzi kwa mwanafunzi wa kike ni ngumu kukataliwa kwasababu mwanafunzi wa kike ataogopa akimkatalia atachukia na atalipiza kisasi kwa figisu za kumfelisha, kumpunguzia marks, n.k.

Wale wabishi wa kutoa penzi hufelishwa, hii inakuwa message sent and delivered kwamba wakiendelea ubishi watafelishwa tena na hii inaweza kupelekea wasihitimu, matokeo yake inabidi tu watoe penzi kishingo upande.

Wanafunzi wavivu na ambao hawapo serious wanaopenda mtermko, huingia tamaa ya kumpa penzi lecurer, wanajua ni wazi kabisa hata lecturer anaweza kuwapa mtihani na majibu yake kabla ya kuufanya endapo wakimpa penzi. Hapa ni mbuzi kafia kwa muuza supu.

Tukija kwa wanafunzi wengine wana uwezo mdogo darasani licha ya kuwa na bidii, hawa nao ni easy targets, Lefturer akiomba inabidi apewe na hata asipoomba wataingia kundi la wenzao wale wa kitonga kwa kujilengesha kwa lecturers.

Suluhisho.

Tuige nchi zilizoendelea kwenye sheria za kukabiliana na huu ufuska.

Lecturer anapewa penzi si kwajili anapendwa bali ni kwasababu ya marks, hizo marks zinakindwa zisiharubike amba zinabustiwa zikiwa ndogo kwa kutoa penzi.

Kwa kuliona hili inabidi mapenzi kati ya lecturer na mwanafunzi yapigwe marufuku, iwe marufuku Lecturer kuomba penzi kwa mwnafunzi na iwe marufuku mwanafunzi kuomba penzi kutoka kwa lecturer,

Adhabu iwe ni jela na kufutiwa kibali cha kufanya kazi yoyote serikalini.

Hakuna cha watu wazima kuelewana wala nini, ni ufuska !!
Mbona takukuru wana hiyo sheria tayari?
 
mwanafunzi wa kike akijua anafeli anaingia tamaa ya kutumia mbinu yoyote kufaulu ikiwemo kumtega lecturer,
Ndo maana kuna waadili wa vyuo! kwani cont. assesment hazipooo??! zile zinamlinda mwanafunzi km ameonewa au amefanya forgerly!! weye sema domo zege! unawaonea wivu ma lecturer vijana watanashati!

wivu wa kichawi! wenzako wkifaidi unaanza kulia lia tuuuu! hkn kitu km hicho hata hao ma lecturer wanahitaji huduma ya maku wakazitoe wapi?? wkt zipo hapo hapo?? si ni huduma tu?? uchoyo mpaka hukuuu??
 
Uzi mzuri sana huu.Ni kweli kabisa hawa dada zetu wanateseka sana na kuteswa sana na hawa malecture wasio na maadili na wapo wengi sana.mwanachuo wa kike anaweza kuwa na uwezo mzuri lakini kutokana na ushawishi na wenzake wenye tabia za kujirahisisha kwa malecture wanawaponza na wenzao.Chamsingi mimi ningeshauri kuwepo na vyuo vyenye wakufunzi wa kike tu na wanachuo mchanganyiko au pawepo na vyuo kwa ajili ya wanafunzi wa kike tu na wakufunzi wawe wa kike tu.Hii itasaidia wanachuo wa kike kuwa huru kwenda kutoa kwa lecture kwenye vyuo mchanganyiko ili apewe maksi au atumie uwezo wake kwenye vyuo vyao.Hawa wanaokupinga hapa wanatetea uovu tu na kupenda uzinzi.
 
Lecturer hawezi kumfelisha mwanafunzi anayejitambua, maana mtihani mmoja unasahishwa na malectures wawili na hata booklet ni namba tu. Utajuaje huyu ni fulani?.
Kufaulu au kufeli kwa mwanafunzi ni process inayoanzia kwenye course work mpaka mtihani wa mwisho, pamoja na nguvu aliyonayo lecture, uwezo wa mwanafunzi unaplay part sana, so wanafunzi wanaoliwa wengi wao ni wenye uwezo hafifu, au.wale wenye uwezo lakini wanacheza mwanzoni wakati wa cw na hivyo kiwa cw mbaya
 
Labda useme course work, Happ niyaelewa kidogo.

Kufaulu au kufeli kwa mwanafunzi ni process inayoanzia kwenye course work mpaka mtihani wa mwisho, pamoja na nguvu aliyonayo lecture, uwezo wa mwanafunzi unaplay part sana, so wanafunzi wanaoliwa wengi wao ni wenye uwezo hafifu, au.wale wenye uwezo lakini wanacheza mwanzoni wakati wa cw na hivyo kiwa cw mbaya
E
 
Uzi mzuri sana huu.Ni kweli kabisa hawa dada zetu wanateseka sana na kuteswa sana na hawa malecture wasio na maadili na wapo wengi sana.mwanachuo wa kike anaweza kuwa na uwezo mzuri lakini kutokana na ushawishi na wenzake wenye tabia za kujirahisisha kwa malecture wanawaponza na wenzao.Chamsingi mimi ningeshauri kuwepo na vyuo vyenye wakufunzi wa kike tu na wanachuo mchanganyiko au pawepo na vyuo kwa ajili ya wanafunzi wa kike tu na wakufunzi wawe wa kike tu.Hii itasaidia wanachuo wa kike kuwa huru kwenda kutoa kwa lecture kwenye vyuo mchanganyiko ili apewe maksi au atumie uwezo wake kwenye vyuo vyao.Hawa wanaokupinga hapa wanatetea uovu tu na kupenda uzinzi.

Kwa nini uhangaike kote huko. Ukija vyuoni ni wahadhiri wawili Kati ya 50 wanaofanya hivyo, sio wahadhiri wote. Na ukiwa mhadhiri mwenye shida hiyo basi chuo kizima kinakujua huwezi kujificha.
 
Nchi za wenzetu wanafanya vp, ungetusaidia hapo kufumbua macho ndipo tuendelee.
Lakini tunawazaje kushughulika na Lecturers na nchi yetu ina matatizo mengi na makubwa ambayo yanafaa kutungiwa sheria kali ili tusonge mbele?
 
Kwa nini uhangaike kote huko. Ukija vyuoni ni wahadhiri wawili Kati ya 50 wanaofanya hivyo, sio wahadhiri wote. Na ukiwa mhadhiri mwenye shida hiyo basi chuo kizima kinakujua huwezi kujificha.
Si dhani kama umefika chuo wewe na kama umefika unaipenda hiyo tabia.
 
kuna wanafunzi wanauwezo mkubwa sanaa darasani kiasi kwamba nao wanakula tunda kimasihara je hao wafanywejee ata ka hao wake/dada/watoto wa kike wanapewa hela ya kutosha mahitaji yaooo ya kutosha
 
Back
Top Bottom