Mzee makoti
JF-Expert Member
- Jul 27, 2016
- 3,482
- 4,673
Huo mkono wake Chuma mbona hajautumia kumzuia malaika mtoa roho, acheni kumtukuza huyo mungu wenu bandiaMagufuli hakumhitaji Kinana wala mjinga yoyote kushinda ule uchaguzi Magufuli alikuwa na mkono wa chuma na ndio uliomrudisha Ikulu.
Jifunze kusoma kwa ufahamu.Huo mkono wake Chuma mbona hajautumia kumzuia malaika mtoa roho, acheni kumtukuza huyo mungu wenu bandia
Then mwalimu aliyekufundisha kuwa probability inavuka 100% ni mpuuzi au ulikuwa unalala darasani, hivyo ulipata degree ya chupi. Nikufundishe ni kuwa probability ipo kati ya 0 to 100% nasema kati au 0<p<100% au kati ya 0 na 1 Prob: 0<p<1. Ikiwa ni 0 maana yake event will never happen if p is the probability of event to happen. na ikiwa p=1 hivyo hiyo event imehappen. Hakuna probability iwapo ni 0 au 1 maana itahappen au haita happen. Hivyo probability lazima iwe na uncertainilty. Ngoja nikuache dogo ukale viaziStatistics ndiyo shule niliyosoma mimi!
Watamuua maramoja hawa watu wananguvu sana siyo wakutumia nguvu kupambana nao, inahitaji akili kubwa sana.Kikwete alipokuwa akitaka kugombea Urais mwaka 1995 Nyerere alimwambia kwamba wewe bado mdogo muachie Ben watu weengi waliamini hivyo ila ukweli Nyerere alimaanisha kuwa Kikwete alikuwa mdogo kwenye mambo ya kupewa kuiongoza Nchi yaani alimsoma mwenendo wa maisha yake na kugundua kuwa ni msumbufu na hafai kuwa Rais wa nchi Nyerere aliona mbali sana.
Kosa kubwa la kwanza alilolifanya Kikwete kwenye uongozi wake ni kuiruhusu familia yake kujiingiza moja kwa moja kwenye mamlaka ya Rais.
Tulishuhudia awamu ya Kikwete kijana mdogo kama Ridhiwani kujimilikisha makampuni meengi ya kilaghai na waliokuwa wasaidizi wa Ridhiwani nao kujiingiza moja kwa moja kwenye Utawala wa nchi.
Rais Mstaafu Kikwete aliporuhusu hata marafiki wake wa karibu kuingia kwenye masilahi ya Urais wake kwa njia ya utapeli hali hii imepelekea sasa kuhangaika sana wanapopata mtu ambaye hajali maslahi yao hii ni kwa sababu moja tu wanaendeleza biashara zao za kitapeli kipindi wawapo kwenye mifumo.
Ndio maana Nyerere alisema ni hatari sana kuingiza Ikulu Rais mfanyabiashara hali ikiendelea hivi kuna umuhimu sasa wa kuwa na mgombea binafsi ambaye bila huruma atakuja kuisafisha nchi.
Toa mifano mkuu ya huo ubaguzi kwa faida ya wapiga mapambio waelewe kabisa.Wanajaribu kumblackmail mama teh teh teh
Magufuli ndo alikuwa na Nepotism, Ukanda, Udini na Ukabila.
Mwacheni Samia achape kazi, tena namuomba sana mheshimiwa Rais atusaidie kuondoa Udini, Ukabila na Ukanda vilivojiinua sana kipindi cha mwendazake, tunataka kuona watu wa makabila yote, dini zote, kanda zote wenye vigezo wakiwemo katika serikali yake bila kulaliaa upande mmoja
Mpaka Mungu alikasirika! akaona hakuna jinsi afe tu!! kaiba weee!! mpaka akaogopa mwenyewe! sasa anatumikia adhabu!Hasara aliyolitia Taifa hiki Mwendakuzimu Magufuli ni kubwa kuliko hasara yeyote Kuwai kutokea
Kaleta deni la Taifa ni 30 Tril leo tunaona ni 77 Trillion
Kajikwapulia pesa nyingi Kwa kivuli cha uzalendo
Magufuli Kafanya manunuzi hewa mengi kuliko Rais yeyote kuwai kufanya akitaka ten percent zake