Tumefikia hapa na huyu mrembo,niweke gia number ngapi ili nitafune hii mali?

Tumefikia hapa na huyu mrembo,niweke gia number ngapi ili nitafune hii mali?

Isenye

JF-Expert Member
Joined
Dec 22, 2024
Posts
1,985
Reaction score
5,167
Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.

Sasa iko hivi,

Jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake.

Nimemtongoza tumefikia hapo ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.

Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?

Screenshot_20250807_053413_Messages.jpg
 
Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Ili uonekane msomi na matawi ya juu imebidi utupiamo hapo kiinglishi cha Ras Simba.
Ila Kiingilishi wakati wewe ni kapuku pro max unajitafutia shida tu. Utanielewa pale utakapoungwa kwenye GRID
PS
BAADA YA USAID KUFA NA ARV NAZO ZIMEKATA
 
Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Kuna wamba walijua wanatafuna na kusepa lakini walinasa wakaoa
 
Back
Top Bottom