Kijamaa kinajitumia msg na kujijibu chenyewe, hivi vitoto vya 200 vingi ovyo sana.Naona mnatumia lugha inayofanana na Kingereza
Na ki inglish cha ugoko.Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Hahahaa Daah!Naona mnatumia lugha inayofanana na Kingereza
Wee kuweza??!!!!
Kuna kitu nimegundua hapo hupati kitu chochote kutokana na mawasiliano dhaifu hasa upande wako unaweza kuisaka mwaka Kuna dosari ww sio mtu wa kauli Moja inaelekea una mbwe mbwePoleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Pepo la uvurugaji wa maisha na hisia za watu,tokaaaaaaa!Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.