Ili uonekane msomi na matawi ya juu imebidi utupiamo hapo kiinglishi cha Ras Simba.Poleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Punguza wivuIli uonekane msomi na matawi ya juu imebidi utupiamo hapo kiinglishi cha Ras Simba.
Ila Kiingilishi wakati wewe ni kapuku pro max unajitafutia shida tu. Utanielewa pale utakapoungwa kwenye GRID
PS
BAADA YA USAID KUFA NA ARV NAZO ZIMEKATA
Kuna wamba walijua wanatafuna na kusepa lakini walinasa wakaoaPoleni na msiba wa ndugu Ndungai.
Sasa iko hivi,jana kuna bibie nilikua namfuatilia muda mrefu tu,nikapata number yake,nimemtongoza tumefikia hapo,ila mimi lengo langu nataka nimtafune chap kisha niingie mitini.
Hapo niweke gia number ngapi ili lengo langu litimie?
Nimekosa mimi, Nimekosa sana Ninakuomba unisamehePunguza wivu