Tumefikia hapa na huyu mrembo,niweke gia number ngapi ili nitafune hii mali?

Why umdanganye unamwoa af kumbe wewe ni mpitaji, si umwambie tu ukweli ndugu yangu, ili km anakutunuku akupe akijua ww ni kiruka njia, ujue umetoa kauli nzito mno kwake, ukute ana mtu wake akaamua kuvunja relation yake ili awe na wewe afu ww ndo hibo tena. Pia jua maumivu utakayompa elewa kabisa atalipiza kwa mwanaume mwinvine
 
Na ki inglish cha ugoko.
 
Kwani kusema situationship na mengine tutajua mbele ya safari vijana mnashindwa nini?.
Huu uongo unnecessary huwa siuelewi, au mnawaogopa sana hawa wadada
 
Kuna kitu nimegundua hapo hupati kitu chochote kutokana na mawasiliano dhaifu hasa upande wako unaweza kuisaka mwaka Kuna dosari ww sio mtu wa kauli Moja inaelekea una mbwe mbwe
 
Pepo la uvurugaji wa maisha na hisia za watu,tokaaaaaaa!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…