Wala hatuwaoni hivyo. Sasa elfu 5 mno nikuone zoba??
Tp ni Tapeli mkuu.....MaTP ndo nini mkuu? Huyo Dada ulitakiwa umpe na block. Anakuombaje kisa amekupa Namba sasa. Kama anauza Namba si anasema tu mapema
Akiambiwa awe sponsor wa kuanzisha kiwanda cha biashara ndogondogo kinachotoa ajira kwa watu watano sijui itakuwaje hapo?Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Nakazia mkuuWatu Na okoyoko ni vitu viwili tofauti..
Tonatofautiana mitazamo Na misimamo..
Sio kisha donatila anahonga milioni Na okoyoko ahonge million au buku tano yake.
Usipende kujifananisha Na watu, usipende kuoga ya watu. Tengeneza utambulisho wako. Muache okoyoko aishi kiuhalisia sio kama wengine wanavyoishi.
Any Questions?
You guys 're so hilarious as the one who don't ask anything,she deserve absolutely nothing.A girl who don't ask anything, she deserve Everything....!
Wanakoma aisee... Pesa ngumu.Mdaiwa sugu [emoji2][emoji2][emoji2]
Safi sanaMie mwenyewe nimemkimbia kwa kuombwa 5000! sitaki ujinga.....
Anashida? Nani hana shida mkuu kama vipi akaenayo hio shida yake..halafu saa zingine kama mwanaume unajiskia tu hutaki kutoa hela sio kwamba hazipo kwenye mfuko wa shati au kwenye simu...Hivi msichana akiomba hela mbona mmefanya kuwa ni ishu kubwa...sio wote wadangaji...wengine wanashida kweli...
Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
kaka... sawa mie mwenyewe huwa sio mtu wa kuhonga mie huwa NATUNUKU.. ila sio mbaya... wew huyo dem ulimpenda kweli au ulikuwa unataka uguse utembee??Hello guys
Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia denda tu kutoka kwa huyo demu
UGOMVI ULIPOANZIA
Aliniomba elf 5 kudai ana shida nayo, wakati papuchi hajawahi kunipa, kila nkimwambia aje gheto anadai yupo busy, nkamuuliza kama ananikomoa au VIPI, pia nikamwambia kuwa hajanipenda ndo maana ananiomba elf 5, akaongea kidogo, baada ya siku hiyo mpaka Leo ni wiki 3 sasa tumechuniana wakati alikuwa anapenda kuni-text kila siku.
Nakubali kwenye mahusiano kuna kusaidiana, ila mm kufanywa zoba, cjui buzi, ATM kisa k*ma wakati wengine wanajilia bureee kiurahisi, mm sitaki, cjui wanaume mnaotongoza kwa kutumia pesa mnafanyaje aisee maana kweli mm kuhonga pesa nlioitolea jasho kindezi ndezi cwezi
The quotation might not apply to both men and women but it may be a lesson to both of them..... Understand your Value kama upo real & the guy is real too, atakua anajua tu thaman yako na anafanya tu asubiri kuulizwa......You guys 're so hilarious as the one who don't ask anything,she deserve absolutely nothing.
Hiyo 5000 wengne ni hela ya vocha kwa sikuHello guys
Hivi majuzi kuna mdada nlimtongoza, tukawa tunachat nkamshangaa kidogo coz alkuwa anapenda kuni-text mara kwa mara na kwa muda wa wiki mbili hakuniomba hela na kiukweli nliambulia denda tu kutoka kwa huyo demu
UGOMVI ULIPOANZIA
Aliniomba elf 5 kudai ana shida nayo, wakati papuchi hajawahi kunipa, kila nkimwambia aje gheto anadai yupo busy, nkamuuliza kama ananikomoa au VIPI, pia nikamwambia kuwa hajanipenda ndo maana ananiomba elf 5, akaongea kidogo, baada ya siku hiyo mpaka Leo ni wiki 3 sasa tumechuniana wakati alikuwa anapenda kuni-text kila siku.
Nakubali kwenye mahusiano kuna kusaidiana, ila mm kufanywa zoba, cjui buzi, ATM kisa k*ma wakati wengine wanajilia bureee kiurahisi, mm sitaki, cjui wanaume mnaotongoza kwa kutumia pesa mnafanyaje aisee maana kweli mm kuhonga pesa nlioitolea jasho kindezi ndezi cwezi
kaka... sawa mie mwenyewe huwa sio mtu wa kuhonga mie huwa NATUNUKU.. ila sio mbaya... wew huyo dem ulimpenda kweli au ulikuwa unataka uguse utembee??
[emoji1] [emoji1] [emoji1]Yani elfu 5000 unalilia hapa...watu wanahonga mamilioni...
Huoni aibu!
Ahaahaaa no money NO Honey kijana..but hongera kwa kwa kuthamini pesa yako hao ndiyo dawa yaoo akitaka pesa aifuate ghetto dadeki..Hello guys