Chizi Maarifa
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 10,931
- 24,816
Wewe mkia unajua nini.... Mla mihogo tu wewe. Sisi tunaipigania team. Namuunga mkono mleta mada. Match hii tunatoa draw ya magoli au tunashinda. Nipo hapa hapa.acheni uongo mimi nipo tunisia na hakina hata mzee mmoja
Mmeiva sana nje ya uwanja kwa gia ya bahasha, kumbukeni penati iliyowapa ushindi mechi yenu ya mwiskho kwenye ligi!! Ndani ya uwanja ni matope!!Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Sikuukimbia. Kwa nini niukimbie? Na nlisema jamaa hawatatufunga?Komea Lachuma uliukimbia uzi wako tarehe 2/11/2022 pia utaukimbia uzi huu tareh 09/11/2022.
Wewe ndo komeo la chuma? Wewe jamaa ni mkia. Sisi Wananchi hatuna shobo kama hizo.Sikuukimbia. Kwa nini niukimbie? Na nlisema jamaa hawatatufunga?
Mmeenda na mihogo ya kutosha pia?Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.
Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.
Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Daaaah.... Mwananchi mwenzangu umepagawa sana. Daima mbele nyuma mwiko.Wewe ndo komeo la chuma? Wewe jamaa ni mkia. Sisi Wananchi hatuna shobo kama hizo.
Subiri match ichezwe wewe.....usidhani kila siku kwako ni jumapili. Yanga tunashinda.Huu ndio muda wa kuongea sana kwa wala mihogo kabla mechi haijachezwa!! Ikichezwa hutawaona hapa!
Msile mihogo inasumu lkn ww haukusikia umekula madhara yake ndyo haya sumu imepanda kichwani MIHOGO FCBabaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.