Tumeingia Tunisia na Wazee wetu Watatu. Hawa ni wazee wapya wa Kamati ya Ushindi. Watunisia wamelala kwao....

acheni uongo mimi nipo tunisia na hakina hata mzee mmoja
Wewe mkia unajua nini.... Mla mihogo tu wewe. Sisi tunaipigania team. Namuunga mkono mleta mada. Match hii tunatoa draw ya magoli au tunashinda. Nipo hapa hapa.
 
Kitakachowasaidia yanga ni kupaki basi ili wapate sare itakayowapeleka kwenye penalt.Uko kwenye penalt hakunaga mwenyewe.ila swala lakusema mtashinda kwa magoli ya dakika 90 uwanjani hizo ni ndoto za mchana.

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.

Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.

Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Mmeiva sana nje ya uwanja kwa gia ya bahasha, kumbukeni penati iliyowapa ushindi mechi yenu ya mwiskho kwenye ligi!! Ndani ya uwanja ni matope!!
 
Hakika aliewaita utopolo aliwaza mbali sana
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.

Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.

Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
 
Babaaake..... Watunisia wamelala kwao... Wazee wetu watatu ndo wanatuongoza. Watunisia wamejaribu kutuma majini yao yametulizwa. Mpaka sasa hawajielewi. Tumeshakwepa mitego yao yote mbwa hawa.

Huku Dar mikia mliwatonya... Kule sasa wanaenda kukalia moto. Tunawachabanga kiroho mbaya. Hatuwaogopi na tumejiandaa kuwachakatia kwao mbele ya watu wao.

Nabii Nabi ameshaandaa kikosi tayari kwa kutinga hatua ya makundi. Na tupo safi. Yanga si kama team yenu. Sisi tumeiva ndani na nje ya uwanja.
Mmeenda na mihogo ya kutosha pia?
 
Msile mihogo inasumu lkn ww haukusikia umekula madhara yake ndyo haya sumu imepanda kichwani MIHOGO FC
 
Back
Top Bottom