Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

"Wananchi wengi"???Majority voted him ndo mana amekuwa rais wa jmt

Majority rule

Sasa hao "wananchi wengi" wasiompenda n kwa rafiti ipi ulyofanya

Au n kwa mujib wa genge la wahuni wa twitter,insta???
Nduli Idd Amin kabla ya mauti yake kumfika alitubu na kumrudia Muumba wake, yeye ni nani asifanye hivyo? Huko kaburini mtakua naye wewe au mkeo?
 
Nilichojifunza! Ni sawa na haki mpinzani au msema ukweli kama Azory akifa au Lissu akiumizwa lakini upande mwingine sio haki wakipata mabaya watu wafurahi.
 
Wapi wameruhusiwa kufanya siasa hadi wawe positive
 
Kuna mzushi alisema yupo mortuary kabisa na tusubiri breaking news.
 
Watu wanazo taarifa za ndani. Kila mmoja kapiga anavyoweza. Wengine wamemtakia afya njema na kupona. Serikali ilinyamaza. Sentesi moja tu ingetosha. "Rais yumzima amepumzika" kwa Nini waliacha tetesi zienee. Ukweli wanajuwa wenyewe. Hali haikuwa nzuri. Nafikiri Kuna mafunzo mengi Kama Taifa. Tumetetereka. Chuki iko just kuliko unavyidhani. Huu ndio ujumbe.
 
Wewe ndio kizibo ambaye aibu imekukuta
 
Sijasema kuogopa kifo. Siwezi ogopa haki yangu ya asili kama kuzaliwa.
Hoja hapa ni "iweje watu wafurahie Kifo" cha binadamu mwingine ilhali wao pia watakufa? Mwenye akili jibu ashalipata!
 
Rudi ukasome post yako vizuri
 

Mwana CCM unawafundisha upinzani kufanya siasa za upinzani,what an irony?

Jamaa wenu alipigwa heart attack scare!

Kaenda kufanyiwa huduma kapona,leo karudi!

Ikija mara ya pili analala flat mamaeeeee!

Mnafanya mchezo na cardiac arrest????

Shubamitiiii
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…