Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

CCM ndo nini kwanza?
Unadhani itatawala milele?
 
Aisee!
 
Binafsi nimefurahi kumuona leo, nimeona kuna ujumbe Ikulu nzima ilikua inautuma kwa wananchi haswa wale wambeya, mfano kitendo cha uwepo wa viongozi wa dini, chakula cha pamoja vyote vilikua na meseji fulani.
Msg kwa nani? Unadhani hao viongozi wa dini watamwepusha na kifo?
Wajinga kweli nyie
 
Kwani anauza ice cream mpaka apendwe?
 
Mkuu hapo no 2. naomba kutofautiana na wewe, si sahihi kusema hakuna mbadala wa ccm. Kinacho fanywa na ccm kinweza kufanywa na chama chochote au mtu yeyote provided that ana nguvu za dola. CCM nje ya dola nao ni hopeless tu kama vyama vingine.
 
Yaani iyo reply tuu inaonesha uko kundi gani.
POle baba ndo ivyo jamaa tuko naye mpaka 2025 vumilia
Ndo maana Mungu kachukia, mtu gani Kila siku anasifiwa eti huwa hakosei?
2025 ni Membe tulia kijana, Mungu kishafanya yake ,Jiandae kulia tu
 
Chumvi inaweza kuwepo. lakini ukweli ni kwamba afya ya magufuli haiko timamu. Alionekana ni dhaifu.
Mimi na wewe sio madaktari wake lakini siwezi kukataa katakata kuwa ni mgonjwa kwa sababu ugonjwa ni sehemu ya maisha ya binadamu.

Hoja iliyokuwepo ni kuwa Rais Magufuli ni mgonjwa sana na leo tukaambiwa amefariki na hospitali ya Lugalo wanajiandaa kupokea mwili wake! Hii sio kuongeza unachoita chumvi bali ni uzushi mbaya sana.
 
W
 
Binadamu,mimea na wanyama wengi kuugua ni jambo la kawaida.Sasa yeye asiumwe kwa nini?kuna aliumwa nayo ikawa siri lkn ikavuja.Cha msingi ni kuomba mungu ampe shufaa.
 
mimi naona kuna kitu hakiko sawa kwani kwenye mitandao hakuna mtu hata mmoja aliye taja jina la mtu kupatwa na matatizo ya kiafya lakini cha ajabu wanaccm na viogozi wa serikali wote wakanusha kuwa raisi haumw! jee nini kilicho sababisha watu kuhisi kuwa raisi anaumwa?
 
Binafsi nimefurahi kumuona leo, nimeona kuna ujumbe Ikulu nzima ilikua inautuma kwa wananchi haswa wale wambeya, mfano kitendo cha uwepo wa viongozi wa dini, chakula cha pamoja vyote vilikua na meseji fulani.

Meseji wa CCM wenyewe kwani ndiyo wanamchukia sana mpaka kumtumia Moshi wa kichawi huko Ruangwa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…