Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tuwe wakwelii tu kuwa kudorora kwa afya ya Rais haukuwa uvumi ; ni kweli Afya iliyumba na ziara kukatishwa ; sio Jambo la Ajabu mwanadamu kuugua
Tatizo ni namna Taifa lilivyopokea katika hali inaonyesha umoja wa kitaifa umekufa

Kimsingi huwezi kusema 100%!kuwa Kigogo ni muongo
Rais ni Mgonjwa na hata leo hakua kwenye ubora wake
Ni bora azingatie muda wa kupumzika
Kwahiyo wale professional doctors aliokuwa nao hawana akili ila wewe ndio unataka kuwa mshauri wa madaktari wake...
 
Nimejifunza kiongozi huyu hapendwi kabisa na wananchi wake! Walifurahia sana kuwa bora anaewanyanyasa na kujiona mungumtu kaondoka!
Mkuu;
Kutopendwa kwa kiongozi wa kisiasa ni jambo la kawaida sana na hasa kama kiongozi niwa juu nchini.

Hivi unadhani Marais wanapewa ulinzi wa kiwango cha juu katika nchi kwa sababu gani?
 
Vicky Emmanuel Nchimbi wrote this piece [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Taarifa zinazosambazwa kuwa JPM amefariki si za kweli. Ni uzushi Zipuuzeni. May be if he will die in future on God's will, but as for now he is alive. It's true alipata heart attack akiwa ziarani kusini na kukimbizwa Dar usiku kwa helcopter ya jeshi kisha akasafirishwa to SA then Germany. Mama Samia aliitisha cabinet jana to adress the situation and all security organs are alerted.

Taarifa rasmi haijatolewa kwa sababu ya kuhofia kuiweka nchi kwenye tention unnecessarily. Kwa hiyo ili kupunguza minong'ono iliyopo imebidi itolewe taarifa ya uteuzi aliofanya kabla hajaugua. Ni idea iliyotolewa na Mzee Lukuvi just to calm people down. Ndio maana watu wanahoji if he is okay kwanini asijitokeze hadharani hata kwenda kununua samaki kule ferry as he used to be? uteuzi haujafanywa leo, isipokuwa leo umetangazwa tu. And the one who announced is Gerson not JPM.

Kutumia uteuzi as derteminant that he is okay is wrong. He is not okay and he is not in the country. Ndio maana hata kwenye mkutano wa AALCO he will be represented by mama Samia. Lets pray for him for the quick recovery. I'm told leo kapata nafuu na kaweza kufungua macho usiku huu. These are good news lets keep push the prayers. Hata kina Bashe na Polepole wamepata ujasiri to speak it out baada ya mzee kufungua macho usiku huu. Lakini tangu juzi alipozidiwa they were quet as absent b'se they couldnt anticipate what nature could provide.

The most important thing let's keep praying for him, and send our gratitude to Germans kwa kupambania afya ya baba yetu. Tusimuombee mabaya just b'se of political dissimilarities. Our prayers, our unity, our nation, our President.
 

Moshi uliomzunguka kiongozi katika ziara Kusini mwa Tanzania siyo uchawi bali ni sehemu ya zana za kisasa za ulinzi zilizopo ktk magari ya VIP pengine kitufe kilibonyezwa kwa makosa sehemu isiyo stahiki
 
Paragraph yako ya pili kutoka mwisho ni ya muhimu sana. Juu ya hilo binafsi nimejifunza kuwa kutunza Kumbukumbu na kufuatilia mpangilio wa mambo halisi ni equally important.
Mkuu;
Nakubaliana na angalizo lako.
 
Kwanza nimejifunza sasa tumepata Mkurugenzi makini ndani ya TISS,

Alijaribu kuwapa taarifa tofauti tofauti maafisa ndani ya idara ili aweze kugundua ni wapi wanavujisha siri za serikali kwa wakina Kigogo.

Kuna watu wanaenda kupata adhabu kali ndani ya idara.
 
Unataka kusema hata ule ulikuwa kwa ajili ya kumlinda?

Mshana Jr

unautaalamu mwingi ulio zaidi ya hili pengine unaweza kutupia JF, hiki kitu kwa ubobezi wa masuala nje ya teknolojia inaweza kuwa kazi za wazee wetu wa jadi. Chini ya anga hii huwa hakuna jibu la mwisho, chochote kinawezekana kuwa sahihi.
 
Tuwe wakwelii tu kuwa kudorora kwa afya ya Rais haukuwa uvumi ; ni kweli Afya iliyumba na ziara kukatishwa ; sio Jambo la Ajabu mwanadamu kuugua
Tatizo ni namna Taifa lilivyopokea katika hali inaonyesha umoja wa kitaifa umekufa

Kimsingi huwezi kusema 100%!kuwa Kigogo ni muongo
Rais ni Mgonjwa na hata leo hakua kwenye ubora wake
Ni bora azingatie muda wa kupumzika
Mkuu;
Hakuna sehemu nimesema kuugua ni jambo la ajabu.

Kama hoja ingekuwa kuugua pekee hakuna mtu mwenye akili timamu na fikra pana angeshangaa.

Kilichofanyika ni kuambiwa Rais Magufuli mgonjwa sana na amepelekwa Ujerumani. Leo pia tukaambiwa Rais ameishapoteza maisha na sasa hospitali ya Lugalo wanajiandaa kuupokea mwili wake.

Mkuu wangu, kama haya maelezo huyaoni kama ni uzushi tena mbaya sana basi nitakuwa napoteza muda wangu na wako katika majadiliano.
 
Mkuu;
Hakuna sehemu nimesema kuugua ni jambo la ajabu.

Kama hoja ingekuwa kuugua pekee hakuna mtu mwenye akili timamu na fikra pana angeshangaa.

Kilichofanyika ni kuambiwa Rais Magufuli mgonjwa sana na amepelekwa Ujerumani. Leo pia tukaambiwa Rais ameishapoteza maisha na sasa hospitali ya Lugalo wanajiandaa kuupokea mwili wake.
Kwani hajafa?
 
Back
Top Bottom