Mimi muda wote ni msema ukweli siwezi kuficha kama kuna kitu ambacho kinaigizwa waziwazi kwa faida za wengine.
Hivi tunaweza Kukaa na kuhubiri umoja kwa ujinga wa kuwavumilia wakina Musiba na mwenzie Habibu mchange ambao inaonekana wazi system inawatumia kuendelea kuvuruga umoja uliokuwepo hapo awali.Mbona kipindi cha raisi mstaafu kipenzi cha watanzania wote huu ujinga haukuwepo ndani ya serikali bali waliachwa wapinzani ndio wafanye siasa hizo maana sisi ilikuwa ni kudumisha umoja.
Lakin leo ambayo ndio serikali inayojinasibu kuwa na Uzalendo,Utu na Kupendana lakin nyuma ya pazia inaleta wajinga wachache wanaoharibu ndani na nje.
View attachment 1240522