Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Hivi unajua asilimia Karibu 90 ya watanzania walikua hawajua chochote?huo uzushi ulienea mitandaoni Tu tena zaidi ya Twitter na jamii forum?
Ni kweli mkuu, wengi hawafahamu labda watu wa mitandao ni tuita na jf.
 
Sasa kama hata kujiandikisha watu wameajindikisha wachache, tena baada ya vitisho na kubembelezwa ndio kwenye kura utegemee idadi ya maana? Kwa idadi ya kupika atapata kura za mpaka ambao hawajafikia umri wa kupiga kura. Unaweza kulazimisha kila kitu lakini sio kupendwa.
Unatapatapa.
 
Nyie ndo wapuuzi mliokosa akili ulivyo mpuuzi unajitapa eti una akaunti 10. For what kama siyo utapeli. Kuwa na account nyingi JF, twitter IG ama FB inakuonyesha namna gani huna kazi za kufanya na ndiyo ile praise team ya Lumumba. Na si ajabu kuwa na mawazo hafifu..
Si kweli
 
unalazimisha maoni yako kwenye kichwa changu.

Sijakili kuwa ameonewa but am showing a possibility ya kuonewa kama ipo.

Kuna wapinzani sio walopokaji... Sugu ana lugha ya kitaa ila smart. Prof J. Mbowe... Sio kwa hili tu ila ni wanasiasa smart.

Sina ushahidi wa nani anakomolewa ila ukivunia sheria utapapaswa na serikali.
Hilo la viongozi wa upinzani kuonewa liko wazi na ni kilio chetu cha muda mrefu, kwamba rais wa sasa anatumia madaraka yake kuwakomoa na kuwatesa wapinzani wake. Naona unakiri hilo sasa, sio kwamba unasimamia haki, bali ni baada ya kuona hakufurahia uvumi wa kipenzi chako. Narudia tena, hapa unampaka mafuta Mbowe kwa mgongo wa chupa kisa hakuwa mmoja ya waliofurahia huo uvumi. Ila huna lolote la maana unaloona kwa Mbowe zaidi ya hilo.
 
Mimi muda wote ni msema ukweli siwezi kuficha kama kuna kitu ambacho kinaigizwa waziwazi kwa faida za wengine.

Hivi tunaweza Kukaa na kuhubiri umoja kwa ujinga wa kuwavumilia wakina Musiba na mwenzie Habibu mchange ambao inaonekana wazi system inawatumia kuendelea kuvuruga umoja uliokuwepo hapo awali.Mbona kipindi cha raisi mstaafu kipenzi cha watanzania wote huu ujinga haukuwepo ndani ya serikali bali waliachwa wapinzani ndio wafanye siasa hizo maana sisi ilikuwa ni kudumisha umoja.

Lakin leo ambayo ndio serikali inayojinasibu kuwa na Uzalendo,Utu na Kupendana lakin nyuma ya pazia inaleta wajinga wachache wanaoharibu ndani na nje.

View attachment 1240522
Machangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
Nadhani ni wakati sasa kwa Rais kuufanya huo Urais wake kama Taasisi badala ya One Man Show. Kwa namna alivyozungumza jana, kama alizungumza vile kwa sababu alikuwa mgonjwa, basi ni bora akabaki mgonjwa milele.

Alikuwa tofauti kabisa na siku za nyuma.
😂😂Kawa mnyenyekevu kama baba paroko
 
Atakama aumini kama uchawi hupo aufanyi uchawi usiwepo..! Kwa clip iliyotembea na kuendelea kung'ang'ania eti afanye checkup ya afya yake ni upuuzi mtupu.
Kwa hiyo wazee wa Ngende Ruangwa wali test mitambo?
 
Mlichojifunza nyie wazushi ni kuwa muache majungu na umbea na uzushi, fanyeni yanayowahusu tafuteni pesa mlipe kodi ya serikali nchi ipate maendeleo.
Ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Wala huoni faida ya uzi huu? Basi hapa siyo mahali pako, nenda kule jukwaa la mahusiano, chit chat na photos.
 
Ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Wala huoni faida ya uzi huu? Basi hapa siyo mahali pako, nenda kule jukwaa la mahusiano, chit chat na photos.
Mkuu huu uzi una faida gani?
 
Kuna uchaguzi katika zama hizi za mungu mtu? Au unazungumzia sanduku lipi la kura?
Waliokuwa wanahangaika na huo uzushi ndo hao wamerudi tena kivingine. Hizi tathimini zenu za social media ni sawa na wale Motivation speakers,subilini kwenye sanduku la kura mjue kama watz wanampenda Magufuli ama la otherwise ni mbwembwe zenu na hekaya za kila siku
 
Back
Top Bottom