Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Hivi unajua asilimia Karibu 90 ya watanzania walikua hawajua chochote?huo uzushi ulienea mitandaoni Tu tena zaidi ya Twitter na jamii forum?
Ni kweli mkuu, wengi hawafahamu labda watu wa mitandao ni tuita na jf.
 
Unatapatapa.
 
Si kweli
 
unalazimisha maoni yako kwenye kichwa changu.

Sijakili kuwa ameonewa but am showing a possibility ya kuonewa kama ipo.

Kuna wapinzani sio walopokaji... Sugu ana lugha ya kitaa ila smart. Prof J. Mbowe... Sio kwa hili tu ila ni wanasiasa smart.

Sina ushahidi wa nani anakomolewa ila ukivunia sheria utapapaswa na serikali.
 
Machangu [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji23][emoji23][emoji23][emoji2][emoji2]
 
😂😂Kawa mnyenyekevu kama baba paroko
 
Atakama aumini kama uchawi hupo aufanyi uchawi usiwepo..! Kwa clip iliyotembea na kuendelea kung'ang'ania eti afanye checkup ya afya yake ni upuuzi mtupu.
Kwa hiyo wazee wa Ngende Ruangwa wali test mitambo?
 
Mlichojifunza nyie wazushi ni kuwa muache majungu na umbea na uzushi, fanyeni yanayowahusu tafuteni pesa mlipe kodi ya serikali nchi ipate maendeleo.
Ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Wala huoni faida ya uzi huu? Basi hapa siyo mahali pako, nenda kule jukwaa la mahusiano, chit chat na photos.
 
Ndiyo mwisho wa uwezo wako wa kufikiri? Wala huoni faida ya uzi huu? Basi hapa siyo mahali pako, nenda kule jukwaa la mahusiano, chit chat na photos.
Mkuu huu uzi una faida gani?
 
Kuna uchaguzi katika zama hizi za mungu mtu? Au unazungumzia sanduku lipi la kura?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…