The Invincible
JF-Expert Member
- May 6, 2006
- 6,006
- 3,275
Nyie si wezi tu. Toka baba yenu hadi wewe msafisha choo cha lumumba.Mimi kinacbonisikitisha ni wapinzani kushikwa akili na kigogo mpaka wa naacha kufuatilia mambo ya msingi kama uchaguzi na mengineyo.
Baada ya tarehe 24 mwezi ujao ntakuja hapa kuwakumbusha mlivyo nyumbu
Lakini ukiangalia vizuri, hizi drama ni za ccm wenyewe, hawa wa vyama vingine ni washangiliaji tu. Sema washangiliaji wanashangilia mashambulizi badala ya kusubili magoli.Wabongo wengi wanapenda sana drama.
Kuanzia upinzani mpaka CCM.
Na drama zikipungua, wanaleta za kuzusha.
Za kuzusha zikionekana wazi za uzushi, wanafanya review.
Kabla review haijaisha, zinazuka drama nyingine.
Yani wanaona bila mdundiko wa drama inakuwa nchi hainogi.
Halafu drama zao nyingi maneno matupu, hazina "facts and figures" watu wabishane objectively.
Mara chache sana utaona ripoti ya BOT inajadiliwa katika hizi drama.
Mbona kila mara anaonekana mazabauni akihutubia ?Ukishaanza kuzushiwa kifo,Inabidi kujitafakari sana.
Amrudie Mungu
Hatari kwa lipi? Kwani zito ndiye alikwenda Ruangwa kupuliza Moshi?Kwa ujumla ni mtu hatari kwa taifa
Wabaya wengi wa meko wapo CCM huko huko na hao ndiyo huwapenyezea watanzania wote mabaya yakeLakini ukiangalia vizuri, hizi drama ni za ccm wenyewe, hawa wa vyama vingine ni washangiliaji tu. Sema washangiliaji wanashangilia mashambulizi badala ya kusubili magoli.
Ccm wali mmiss lead kigogo internationally wamefurahi sanaaa, nadhani wamemtambua ni nani sasa, maaana hii ni njia ya kumfahamu mole within, wanatoa taarifa za uongo kisha wanafuata leads, presumably wamemtambua, tusubirie press watuambie nani muhaini.
Wanamtafutia Rais busara, eti alikaa kimya, hakusema kitu, mara utasikia aliwasamehe.
Yote ni kumpandisha politically in public.
Bado naamini, circle yao inavuja still.
Wewe je tunahaki kukuitaje?!?!Tuna haki na sisi ya kukuita punguani mpumbavu na lofa.
Mmmh si kwa uhaiYule ni jiwe. Sikilizia mziki wake.
Kuna uongo gan kaongea hapo si ni kwelWakati mwingine Mods muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi, uhuru wa maoni usio na mipaka ni uvunjifu wa sheria, Si kila mtu lazima aanzishe thread, kama huna misamiati mizuri kichwani mwako aheri ukae kimya usome post za wenzio....
Wasiojulikana wametanda huko tokea juzi wakiuchunguza Moshi wa RuangwaHivi ziara yake huko Lindi leo imefanyika?
Je,Rufiji na Ikwiriri nako jana alienda?
Haya maswali ni ya Kigogo huko twitter na wala si yangu.
Mkewe ni mama mwema ingawa huwa hana nguvu ya kumkanya nadhani sasa kamwambia awe chonjo abadilike aache ubabe wake amrejee mungu afanye kazi kwa uadilifu mkubwa.Nadhani ni wakati sasa kwa Rais kuufanya huo Urais wake kama Taasisi badala ya One Man Show. Kwa namna alivyozungumza jana, kama alizungumza vile kwa sababu alikuwa mgonjwa, basi ni bora akabaki mgonjwa milele.
Alikuwa tofauti kabisa na siku za nyuma.
Uadilifu na unyenyekevu, ila ashukuru, sana Mungu ni wa rehema nyingiMkewe ni mama mwema ingawa huwa hana nguvu ya kumkanya nadhani sasa kamwambia awe chonjo abadilike aache ubabe wake amrejee mungu afanye kazi kwa uadilifu mkubwa.
Ni msimamo madhubuti, ila usiufanye kuwa 'absolute'. All or nothing!Mimi sio muumini wa kiongozi yoyote wa kuchaguliwa kukaa madarakani zaidi ya miaka 10. Mbowe ameshakaa zaidi ya miaka 10, huu ni wakati wake sasa kumpisha mwanacdm mwingine. Ni kweli nafahamu mchangu wa Mbowe kwa cdm, lakini wakati ukuta. Kama wewe umefaidika na Mbowe kwenye hili, mimi siangalii maslahi binafsi, bali naiangalia cdm kama taasisi, na uongozi wa taasisi ni kupokezana. Msimamo wangu huu uko wazi wala haubadilishwi na tukio lolote.