Lakini ukiangalia vizuri, hizi drama ni za ccm wenyewe, hawa wa vyama vingine ni washangiliaji tu. Sema washangiliaji wanashangilia mashambulizi badala ya kusubili magoli.
Ccm wali mmiss lead kigogo internationally wamefurahi sanaaa, nadhani wamemtambua ni nani sasa, maaana hii ni njia ya kumfahamu mole within, wanatoa taarifa za uongo kisha wanafuata leads, presumably wamemtambua, tusubirie press watuambie nani muhaini.
Wanamtafutia Rais busara, eti alikaa kimya, hakusema kitu, mara utasikia aliwasamehe.
Yote ni kumpandisha politically in public.
Bado naamini, circle yao inavuja still.