Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Katika uchaguzi wowote ule. Hata kama watu watatu tu watajitokeza huyo mmoja wao atakaye chaguliwa na hao wawili ameshinda. Wale wasio jihusisha itakuwa ime kula kwao. That is the principle. Humkomoi mtu unajikomoa mwenyewe kwa ujinga wako.

Tumia nafasi yako kumchagua mtu unaye ona anafaa.
 
Ulianza vizuri umemalizia vibaya
 
Hivi ziara yake huko Lindi leo imefanyika?

Je,Rufiji na Ikwiriri nako jana alienda?

Haya maswali ni ya Kigogo huko twitter na wala si yangu.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama, huyo kigogo angekaa kimya kwanza angalau kwa sasa
 
2. Rais ajitathmini style yake uongozi, asifurahie kuogopwa bali ajenge mazingira ya kuheshimiwa
Hakuna zaidi ya hili katika uongozi; ni bahati mbaya sana yeye hakulitambua hili toka mwanzo.

Ukali una sehemu yake, hasa kwenye mazingira iliyokwishayafikia Tanzania; na ukali na kukandamiza kunahitaji uangalifu zaidi. Usimwonee yeyote kwa sababu zisizokuwa za haki.

Kama unamkandamiza mtu kwa sababu tu hakubaliani na msimamo wako katika baadhi ya mambo, na unamkandamiza kwa sababu wewe unavyo vifaa vyote, hapo usahihi wa njia hiyo unapotea.

Uonevu katika uongozi mara zote huleta mfarakano mkubwa kwenye jamii.
 
Tusimlaumu sana Kigogo 2014 kwa kutulisha 'tango pori' kama watu wengi wanavyodai bali yeye ndiye amesababisha tupate taarifa rasmi.
Unanikumbusha Donald Trump alivyomzushia Obama kazaliwa Kenya.

Obama alivyotoa cheti cha kuzaliqa kuonesha kazaliwa Hawaii, Trump akawa anatamba kusema kwamba bila yeye watu wasingekiona cheti.
 

This forum started at a good note and hopefully with a good intent, but now it is full of surrogate contributes incapable to reason independently. Like waves in the ocean tossed to and fro.
 
Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyo

Sikatai kuwa Lisu ni mtu mzuri shida anawaabudu sana hawa watu weupe. Angejua hawatupendi!
 
Mkuu Nabii Sauti ya Nyikani, Wilderness Voice, kwanza asante kutujulisha, pili naunga mkono hoja kuwa Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, ila pia kiulweli jf tuna manabii wengi!.

Ila nina kaswali kadogo, naomba ufafanulie kidogo ile 2004 ulipoonyeshwa Magufuli atakuwa rais, ulionyeshwaje?. Kwenye ndoto, au kupitia maono au ni sauti tuu?.

Maana sisi wengine sio manabii ila 2014 tuliambiwa Magufuli ndio atakuwa rais na sababu tulitajiwa na tukasema humu


Ila humu jf tuna manabii wengi na miongoni mwao ni huyu


Tena manabii wa JF, hawaishii kuleta taarifa zao za unabii tuu, bali wwngine ni watabiri, nami niliwahi kuwatolea angalizo humu,

Katika hao wewe mwenzetu uko kundi gani?.

P
 
Haya ni matokeo ya kutokua na uhuru wa vyombo vya habari...

Ndiyo maana watu wanatengeneza hoax...


Cc: mahondaw
Mkuu;
Kutokuwa na uhuru wa vyombo vya habari sio kigezo kwa sababu hoax zinakuwepo hata kwenye nchi zenye ''uhuru wa vyombo vya habari''.
 
Nakutunukia PhD ya upumbavu ya kiwango cha korosho. Kwa sababu una mungu wako binafsi. Tuache na Mungu wetu anayetenda haki kwa wakati wake unaompendeza.

Kumshambulia mtu kama Zitto umechemsha kwa sababu kuna wengi zaidi ya Zitto huyu wanaojua mapungufu ya mtu wako. Narudia Mungu wa Kweli na wa haki ameshampima mtu wako hatoshei.
 
Natamani baba atoke akamalizie ziara yake mikoani Lindi na Mtwara, kinyume na Hapo uvumi na maneno vitaibuka upya, please!

Binafsi namwombea afya njema, aishi aone maoni ya Watu Juu yake Kama Mtu Binafsi lakini zaidi sana Kama Kiongozi wa Taifa, Amen!

 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…