KalamuTena
JF-Expert Member
- Jul 7, 2018
- 13,187
- 17,167
Imebaki kidogo tu, ujitangaze wewe mwenyewe kuwa ndiwe mungu! Unasubiri nini?Mungu atawasambaratisha vibaya.
Kama si hivyo, basi 'mungu' ni mali yako. Unamfuga nyumbani kwako.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Imebaki kidogo tu, ujitangaze wewe mwenyewe kuwa ndiwe mungu! Unasubiri nini?Mungu atawasambaratisha vibaya.
Katika uchaguzi wowote ule. Hata kama watu watatu tu watajitokeza huyo mmoja wao atakaye chaguliwa na hao wawili ameshinda. Wale wasio jihusisha itakuwa ime kula kwao. That is the principle. Humkomoi mtu unajikomoa mwenyewe kwa ujinga wako.Sasa kama hata kujiandikisha watu wameajindikisha wachache, tena baada ya vitisho na kubembelezwa ndio kwenye kura utegemee idadi ya maana? Kwa idadi ya kupika atapata kura za mpaka ambao hawajafikia umri wa kupiga kura. Unaweza kulazimisha kila kitu lakini sio kupendwa.
Ulianza vizuri umemalizia vibayaMwaka 2004 nilioeshwa kuwa John Pombe Magufuli atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Rais Kikwete kumaliza muda wake 2015. Hili nililijua toka wakati huo. Na niliwambia baadhi ya watu kadhaa japo nilijua Magufuli atakuwa na vita kubwa. Mwaka 2011 niliwambia pia watu atakae kuwa Rais ajae ni Magufuli japo watu wengi wa Tanzania walidhani ni Lowasa au Membe. Katika huo mwaka nilifanikiwa kumuona Magufuli umbali wa mita chache japo sikuweza ongea nae alipanda gari akaondoka nilitamani kumwambia yeye ndo atakae kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Japo Rais Magufuli anadhani alipata urais kwa bahati mbaya kwa kujaribu la hasha nataka nimuhakikishie kwamba, alipata urais kwa kuandaliwa na Mungu. Asijilaumu na wala asiseme seme haya maneno kuwa alijaribu. Mungu alishamuandaa. Anachopaswa kujua ni kuwa atakumbana na upinzani mkubwa hicho ni kitu cha kawaida. Watu wote waliokuwa chaguo la Mungu soma Biblia au mtazame Mtume katika uislamu. Wakati wa kampeni 2015 nilikuwa katika moja ya group iliyokuwa ikimsapoti Magufuli wengi waliogopa upepo wa Lowasa, niliwambia Magufuli atashinda tu. Walishangaa!
Sasa niseme na Kumwambia Rais yote mabaya wanayomtabilia, hakuna hata moja litakalo simama au kufanikiwa. Asiwe na wasiwasi Mungu yupo na yeye, na watanzania wema na wazalendo wako nae. Kuumwa ni hali ya kawaida ya binadamu, na kuumwa si kufa. Hakuna mahala Maandiko matakatifu yanasema mtaumwa na kufa. Maandiko yanasema tutakufa tutarudi mavumbini. Hivyo mtu aweza kufa hakiwa haumwi akafa ghafla tu. Rais wetu Mungu kakuandaa na utashinda uchaguzi 2020 usiwe na wasi na utaendelea kuwepo hadi utapo itimisha muda ambao Mungu anapenda utuongoze.
Onyo kwa wanao mtakia Rais mabaya mkizidi sana Mungu atawasambaratisha vibaya. Nakuonya Mhe. Zito, wewe ni mfitini na msaliti wa hii nchi upo kwa maslahi yako. Usidhani unaogopwa na unauwezo wa kusema lolote ukizidi Mungu ataufunga huo mdomo. Hivyo tulia fanya siasa nzuri na kuwa mzalendo. Mheshimiwa Membe wewe unapiga ngoma katika maji pole sana. Wakati wako umepita huna lolote hutokaa kuwa Rais wa hii nchi kamwe. Nimekwambia na utaona. Mungu anakujua na anajua nia yako hovu. Tundu Lissu, wewe unadhani kumsema Rais vibaya na nchi yako utafanikiwa haita tokea kamwe. Unawafanya wazungu miungu yako. Ipo siku watakuchoka na watakuacha kama ulivyo. Mzungu anachoangalia ni maslahi yake akiona hajapata au kapata atakutelekeza. Kwanza wanapenda mtu asiye msaliti wa nchi yake. Kwani hii ufanya wakuheshimu. Hivyo wewe wanakusanifu wanakutumia kupata wanachotafuta. Ila hawatoweza kukipata Tanzania hii inalindwa na Mungu ni nchi ya kipekee na watanzania wanaiombea. Acha hiyo tabia. Utapotea katika ulimwengu wa siasa na utajuta maishani mwako.
Muungwana akivuliwa nguo huchutama, huyo kigogo angekaa kimya kwanza angalau kwa sasaHivi ziara yake huko Lindi leo imefanyika?
Je,Rufiji na Ikwiriri nako jana alienda?
Haya maswali ni ya Kigogo huko twitter na wala si yangu.
Hakuna zaidi ya hili katika uongozi; ni bahati mbaya sana yeye hakulitambua hili toka mwanzo.2. Rais ajitathmini style yake uongozi, asifurahie kuogopwa bali ajenge mazingira ya kuheshimiwa
Unanikumbusha Donald Trump alivyomzushia Obama kazaliwa Kenya.Tusimlaumu sana Kigogo 2014 kwa kutulisha 'tango pori' kama watu wengi wanavyodai bali yeye ndiye amesababisha tupate taarifa rasmi.
Na aliyemuombea mabaya? Yeye hana kitu cha kujifunza?Mi nadhani aliyeombewa mabaya ndo kuna kitu anapaswa kujifunza.
Mr Plight with his young Brother, the conductor think that their Dad shall never ever fade.
I recollect what the late Mwl spoke over Idiotism, "it's better for someone else to become bankrupted than to be without wits ".
The two are without wits, worst rumours rumoured over his fate and civilians became exceedingly glad.
The zero brain holders, are herein to applaud everything,be good or bad.
We shouldn't blame them, for it's their role, without carrying out such a task their children will starve.
The man of God came all the way to the country bear shoes as a sign to capture the pertaining dark powers whose goals were to cause untold harms.
I'm pretty sure, 85% wish him evil things to prevail on.
The day is up, in which the two will be easily trapped like a rat in a glue bait ,and it's gonna be nowhere to run for them.
As we're all blindfolded of our tomorrows, they know theirs.
Kwa kweli nimeshangaa sana!Hadi Zitto Siri za Ikulu siku hizi hazipati hii noma, Magufuli kadhibiti sana.
Ulianza vizuri umemalizia vibaya
Sio wanaCCM pekee bali watanzania wengi walipigwa na butwaa!Nilichogundua tu ni wanaCCM woote walikaa wakanywea wasijue la kufanya, mbwembwe zote zikawashuka.
Hahahaaaa
Tundu lissu hata akikaa kimya miaka 16 mtamuwekea tu maneno mdomoni uzuri ni kwamba wanaompenda tl Ni wengi mno kuliko mdhanivyo
Mkuu Nabii Sauti ya Nyikani, Wilderness Voice, kwanza asante kutujulisha, pili naunga mkono hoja kuwa Rais Magufuli ni mpango wa Mungu kwa Tanzania, ila pia kiulweli jf tuna manabii wengi!.Mwaka 2004 nilioeshwa kuwa John Pombe Magufuli atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Rais Kikwete kumaliza muda wake 2015. Hili nililijua toka wakati huo. Na niliwambia baadhi ya watu kadhaa japo nilijua Magufuli atakuwa na vita kubwa. Mwaka 2011 niliwambia pia watu atakae kuwa Rais ajae ni Magufuli japo watu wengi wa Tanzania walidhani ni Lowasa au Membe. Katika huo mwaka nilifanikiwa kumuona Magufuli umbali wa mita chache japo sikuweza ongea nae alipanda gari akaondoka nilitamani kumwambia yeye ndo atakae kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.
Japo Rais Magufuli anadhani alipata urais kwa bahati mbaya kwa kujaribu la hasha nataka nimuhakikishie kwamba, alipata urais kwa kuandaliwa na Mungu. Asijilaumu na wala asiseme seme haya maneno kuwa alijaribu. Mungu alishamuandaa. Anachopaswa kujua ni kuwa atakumbana na upinzani mkubwa hicho ni kitu cha kawaida. Watu wote waliokuwa chaguo la Mungu soma Biblia au mtazame Mtume katika uislamu.
Hata weye waweza kuwa na roho ya utambuziUnataka kusema wewe ume rithi mikoba ya sheikh yahaya
Ova
Muda si mrefu atatutabiria mwanaume atakayemuoa. Tuweni na subira wajameni.So shameful indeed!
Nakutunukia PhD ya upumbavu ya kiwango cha korosho. Kwa sababu una mungu wako binafsi. Tuache na Mungu wetu anayetenda haki kwa wakati wake unaompendeza.Mwaka 2004 nilioeshwa kuwa John Pombe Magufuli atakuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania mara baada ya Rais Kikwete kumaliza muda wake 2015. Hili nililijua toka wakati huo. Na niliwambia baadhi ya watu kadhaa japo nilijua Magufuli atakuwa na vita kubwa. Mwaka 2011 niliwambia pia watu atakae kuwa Rais ajae ni Magufuli japo watu wengi wa Tanzania walidhani ni Lowasa au Membe. Katika huo mwaka nilifanikiwa kumuona Magufuli umbali wa mita chache japo sikuweza ongea nae alipanda gari akaondoka nilitamani kumwambia yeye ndo atakae kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania.