Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Makundi ya kumzushia magufuli kifo ni mengi msiwasingizie chadema tu,watumishi wanaweza Fanya hivyo,wafanya biashara na hata maskini wa kawaida tu.Rais kuna maeneo anapatia ila kuna eneo anaharibu kama rais " kujenga umoja hawezi kabisaaaaa" anaamini mabavu sana
 
Hii haiwezi kuwa kweli, kafumbua macho na kupandishwa ndege toka German kuja kuapisha watu?
 
Usiseme watanzania, bali sema chadema na magenge mengine toka upinzani kama kina Zitto
 
Mkuu;
Kutopendwa kwa kiongozi wa kisiasa ni jambo la kawaida sana na hasa kama kiongozi niwa juu nchini.

Hivi unadhani Marais wanapewa ulinzi wa kiwango cha juu katika nchi kwa sababu gani?
Naelewa, ila kwa huyu anayejiadai ni wa wanyonge na mapambio kibao ya kumsifu....asipojifunza atakuwa na.kiburi cha kijinga tu!
 
Huo umoja wa kitaifa kuyumba sababu ya tweets za akina Zitto mzee? Yaani kakikundi ambacho tunajua hadi fake IDs zao ndio unasema taifa? Unajua mliheshimika sana kiasi kwamba sasa significant number imeanza kujua motives zenu!
Mkuu;
Hata mimi ninashangaa sana kwenye hii dhana potofu ambayo inajengwa eti taifa linayumba huku wengine wakisema taifa limegawanyika!

Hii ni moja ya njia za kisaikologia ambayo inatumika katika siasa ili kuaminisha kundi ambalo halina upande na uzoefu kwenye mapambano ya kisiasa!
 
Wewe ndo mpumbavu wa majalalani, rudi mirembe utibiwe
Subiri tuwatie madole kwenye uchaguzi ndio mtamkumbuka kigogo ni nani! Tunaanza na uchaguzi wa selikali za mitaa.

Yani nyie ni wapumbavu sana mkuu! Badala ya kujazana mitandaoni kudeal na tume huru ya uchaguzi, mnadeal na udaku wa kigogo?
 
Hivi msipende kuangalia juu juu mambo ya msingi.
Uvumi huu ulikuwa na baraka zote za Ikulu kwa maana hata baadhi ya viongozi wa juu ndani ya serikali hawakuwa na uhakika mzee yupo au hayupo? Mgonjwa sana au kidogo?
Na kama unataka kujiuliza zaidi nini kipo kwa viongozi wa juu ndani ya serikali na viongozi wa vyombo vya dola tazama tena kwa makini sana video ya shughuli ya kuapishwa Leo kwa hatua utagundua jambo moja LA hatari sana katika nyuso zao, WALITEGEMEA UVUMI HUU KUWA KWELI.
Sio rahisi kukubali lakini huo ndio ukweli, na ni ukweli wa kutisha sana. Kuna kukubalika mdomoni lakini sio moyoni na tusidanganyike tabia zibadilike.
 
Anajipanga kulipiza ngoja apone kabisa utamsikia,
 
Nakubaliana na wewe.
 
Ndugu Rais, bila shaka umeusoma upepo ulivyo kwa sasa..
Ni vizuri, uachane sasa na roho mbaya, kiburi, majivuno, na visasi. Nadhani umejifunza ni namna gani Wananchi wako wengi wanavyokutakia mabaya (kifo), na wapo tayari kufanya sherehe muda wowote iwapo mauti yatakufikia. Iwapo utachagua kuendelea na ubabe, uonevu na kiburi shauri yako.
 
Subiri tuwatie madole kwenye uchaguzi ndio mtamkumbuka kigogo ni nani! Tunaanza na uchaguzi wa selikali za mitaa.

Yani nyie ni wapumbavu sana mkuu! Badala ya kujazana mitandaoni kudeal na tume huru ya uchaguzi, mnadeal na udaku wa kigogo?
Kwani nani anashoboka na masiasa yenu ya kipuuzi, watu walishawapuuza ndo maana wenye akili hawakujiandikisha
 
Mkuu mbona una conclude kwamba Rais ni mgonjwa, umejuaje? Kigogo kadanganya watu hadi kufikia kutaja chumba ambacho ati Mh Rais alilazwa huko Ujeremani! Bado unasema Kigogo siyo muongo kwa 100%!! Ajabu
Atafutwe aadhibiwe. Mjinga sana
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…