Slowly
JF-Expert Member
- Jul 7, 2016
- 10,589
- 35,268
Namuombea Maghufuli akaze zaidi , huyo jamaa namwelewa Sana japo somtyme anakera, Kwa sasa anaenda kuwanyoosha wote, mwamba huwa hakopeshi yule ....
Mitandaoni humu kuna wahuni wachache tuu hao ni kama chura hawawezi kumzuia tembo kunywa maji, twende na JPM mpak 2025 non stop
Mitandaoni humu kuna wahuni wachache tuu hao ni kama chura hawawezi kumzuia tembo kunywa maji, twende na JPM mpak 2025 non stop