Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.

Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!

Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.

Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 2.4 kutoka laki 300000.

Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii hata isiyoamini kwa haraka (skeptical).

Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia ya kitendo iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini na kuushadadia wameonekana ni wajinga au wapumbavu.

Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa viongozi wetu wa vyama vikuu vya upinzani nchini hawajui kinachoendelea Ikulu. Hii imekuja baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji, Godbless Lema na Lazaro Nyalandu wakiamini na kuushadadia uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu! Lazaro Nyalandu na Dkt Mashinji wanatoa mpaka ujumbe wa kuliombea Taifa huku wakiambatanisha mishumaa!

Haya ni maendeleo makubwa kwa taasisi/watu waliopewa dhamana ya kumlinda Rais na siri za Ikulu.

Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.

Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.

Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Mkuu wewe kweli haujui kinachoendelea,kitendo cha kigogo kutoa Uzushi ni mpango mkakati wa kuwasaka waovujisha siri kwenda nje,issue imeratibiwa(faked) kwamba Prezda anaumwa kwahiyo wakapewa info watu wachache wanaohisiwa wanavujisha siri(wamemezeshwa ndoano) kisha hao watu waliopewa wanaangalia je siri zitatoka nje au lah?

Kwahiyo usiseme kwamba siri haijavuja kuhusu afya ya raisi bali kuna mission ilikuwa inafanywa kumezesha watu ndoano na wameshafanikiwa maana kati ya hao watu waliokuwa targeted kupewa false information(fake news) wakamlisha "KASA" aka TANGO PORI Kigogo....Soon Mzee Baba atatembeza PANGA aka FAGIO LA CHUMA.
 
Vicky Emmanuel Nchimbi wrote this piece [emoji116][emoji116][emoji116][emoji116]

Taarifa zinazosambazwa kuwa JPM amefariki si za kweli. Ni uzushi Zipuuzeni. May be if he will die in future on God's will, but as for now he is alive. It's true alipata heart attack akiwa ziarani kusini na kukimbizwa Dar usiku kwa helcopter ya jeshi kisha akasafirishwa to SA then Germany. Mama Samia aliitisha cabinet jana to adress the situation and all security organs are alerted.

Taarifa rasmi haijatolewa kwa sababu ya kuhofia kuiweka nchi kwenye tention unnecessarily. Kwa hiyo ili kupunguza minong'ono iliyopo imebidi itolewe taarifa ya uteuzi aliofanya kabla hajaugua. Ni idea iliyotolewa na Mzee Lukuvi just to calm people down. Ndio maana watu wanahoji if he is okay kwanini asijitokeze hadharani hata kwenda kununua samaki kule ferry as he used to be? uteuzi haujafanywa leo, isipokuwa leo umetangazwa tu. And the one who announced is Gerson not JPM.

Kutumia uteuzi as derteminant that he is okay is wrong. He is not okay and he is not in the country. Ndio maana hata kwenye mkutano wa AALCO he will be represented by mama Samia. Lets pray for him for the quick recovery. I'm told leo kapata nafuu na kaweza kufungua macho usiku huu. These are good news lets keep push the prayers. Hata kina Bashe na Polepole wamepata ujasiri to speak it out baada ya mzee kufungua macho usiku huu. Lakini tangu juzi alipozidiwa they were quet as absent b'se they couldnt anticipate what nature could provide.

The most important thing let's keep praying for him, and send our gratitude to Germans kwa kupambania afya ya baba yetu. Tusimuombee mabaya just b'se of political dissimilarities. Our prayers, our unity, our nation, our President.
Jana kawaapisha wateule live kwenye TV?
 
Hukujifunza bali umekurupuka kuandika. Jaribu kutoa hoja kwa kupima upepo. Je kwa nini wengi kwenye jamii imefurahia tukio hilo . Ukweli Rais hapendwi kama anavyojinadi. Lastly TCRA wamekosa nini hapo. Hapo mi namsifu Tundu Lisu tu wengine wote hata Makonda ni hopeless.
 
Kuendelea kujadili uzushi kizushi pia ni uzushi!
Ila kabla ya jana mubashara kuapisha mlipokuwa mnaendelea kujadili kiuzushi uzushi ilikuwa sio uzushi?Ilikuwa ukweli?

Mfadhili mbuzi utakunywa mchuzi,BINADAMU kama The Monk hata kulumangia siyo kabisa.

Hahahahaha!!!
 
Usinitafutie ban, fuatilia mambo kabla ya kutoa kauli. Umejaribu hata kupitia post zangu mbili kuhusu hili jambo kujua msimamo wa The Monk ?

Usiingie kwenye kundi la waropokaji tafadhali.
 
Nimejifunza wanao mpenda huyu magufuli ni wengi kuliko unaweza ukadhani pamoja na mapungufu yake still ni kiongozi mwenye faida nyingi kuliko hasara kwa taifa
Shetani ni shetani tu, hata kama analeta faida kwa wauza majeneza!
 
Mi naomba kuuliza, hivi kwani mtu akiumwa haruhusiwi kupona? Au mlitaka iweje ndio mjue alikuwa anaumwa?
Walio asisi mambo ya ugonjwa nibwao wenyewe kumbuka kipindi cha kampeini 2015 khs Lowasa kila mtu wa kijani alizusha afya ya lowasa mbovu kana kwamba kuna mtu ana guarantee ya kuishi milele sasa hivi imekuja kwao wanatetea eti mlitaka iweje ndo mjue anaumwa mmesahau kwa mamvi [emoji848][emoji848]
 
Hapendwi na Mafisadi kama wewe na Wenye Uchu wa Madaraka kama wawe. Kwa Dunia ya Sasa ni taabu kwelikweli kumpata Rais Mzalendo kama Dr.JPM. Mungu ni Mwema na Atashughulika na Wewe Mchawi.
Yeye ndio fisadi, anafanya vitu kienyeji ili akwapue!! Anakuwa mkali hadi kuagiza wabunge wapigwe risasi ili asiulizwe !!!..

Ni ibilisi tu huyo!
 
Wabaya wapo ndani ya utawala, Zito ni mjumbe wao tu, ambaye hastahili kuuawa, kwa namna yoyote ile. Wasakwe wanaompatia taarifa nyeti za kiusalama, waadabishwe kikamilifu. Siku zote kikulacho kinguoni mwako!

Rais inabidi aangalie nyuma na kwa jicho la tatu wale wote wasiomsifia na kupata muda wa kupanda majukwaani kueleza yale yanayowakera pia kuanzia sasa afikirie jinsi ya kujenga daraja imara ili kuunganisha wala keki wachache na jumuia ya "wanyonge".
 
nilichojifunza kigogo wakati mwingine wanamlisha taarifa fake nae hayuko makini kuzihakiki,,i mean angeweza kutumia flightrada ili kuona ndege yeyote ya Tz ikiondoka na kutua Germany,ajipange
 
nimejifunza kuna watu wanataka kumgeuza binadamu mwenzao kuwa MUNGU
 
Pole ndugu.Nilidhani na wewe ulikuwa ni mshabiki wa uzushi waliozusha na kushadidia uzushi kama uzushi mwingine wa kizushi.

Kamata ndovu baridiii nakuja kulipia hapo kwa mangi, nimefuta mawazo ya kukuweka kundi la wazushi.
Usinitafutie ban, fuatilia mambo kabla ya kutoa kauli. Umejaribu hata kupitia post zangu mbili kuhusu hili jambo kujua msimamo wa The Monk ?

Usiingie kwenye kundi la waropokaji tafadhali.
 
Usinitafutie ban, fuatilia mambo kabla ya kutoa kauli. Umejaribu hata kupitia post zangu mbili kuhusu hili jambo kujua msimamo wa The Monk ?

Usiingie kwenye kundi la waropokaji tafadhali.
Sipo kundi LA waropokaji ila nilidhani na wewe ni wale wale wazushi wa kuzusha uzushi wa kizushi.

Hahahahaha!!!
 
Mimi nilichojifunza ni kuwa serikali ya sasa imeanza kubadilika kwenye nyanja ya mawasiliano kwa umma hasa namna ya kukabiliana na tuhuma na uzushi wa kwenye mitandao ya kijamii lakini pia kwenye kuvuja kwa siri za Ikulu.

Kwa jinsi ambavyo serikali/Ikulu imekabiliana na uzushi uliofanyika kwa muda wa siku tatu kuhusu afya ya Rais Magufuli imeonyesha mabadiliko makubwa sana!

Nakumbuka wakati Rais Magufuli anaingia madarakani alikuwa anapenda kujibu kwa maneno kila tuhuma na uzushi uliohusu yeye au serikali yake bila kujua kwa kufanya hivyo alikuwa anawapa umaarufu wale ambao walikuwa wanatoa uzushi au tuhuma.

Kujibu kila uzushi na tuhuma kwa maneno ndio kulimpa umaarufu Mwana Mama aitwaye Mange Kimambi ambaye alijikuta akipata wafuasi zaidi ya milioni 2.4 kutoka laki 300000.

Kanuni moja ya kukabiliana na uzushi ni kuupuuza na kama ukiona bado unaendelea basi unachofanya ni kuonyesha ukweli kwa vitendo katika muda mwafaka kwa sababu uzushi ukiachwa kwa muda mrefu uendelee kuwepo huanza kuaminisha jamii hata isiyoamini kwa haraka (skeptical).

Uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli imejibiwa kwa muda mwafaka lakini kikubwa zaidi njia ya kitendo iliyotumika katika kujibu imeondoa imani (credibility) yote ya yule aliyeuanzisha na kuushupalia lakini vile vile waliouamini na kuushadadia wameonekana ni wajinga au wapumbavu.

Kitu kingine nilichojifunza ni kuwa viongozi wetu wa vyama vikuu vya upinzani nchini hawajui kinachoendelea Ikulu. Hii imekuja baada ya kuona baadhi ya viongozi wakuu wa vyama vya upinzani kama Zitto Kabwe, Dkt Vicent Mashinji, Godbless Lema na Lazaro Nyalandu wakiamini na kuushadadia uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli. Kwa maana nyingine, siri za Ikulu kwa sasa hazitoki kwa urahisi. Fikiria viongozi wa vyama vikuu vya upinzani hawajui hata alipo Rais wa nchi achilia mbali afya yake! Yaani Zitto Kabwe wa leo hajui kinachoendelea Ikulu! Lazaro Nyalandu na Dkt Mashinji wanatoa mpaka ujumbe wa kuliombea Taifa huku wakiambatanisha mishumaa!

Haya ni maendeleo makubwa kwa taasisi/watu waliopewa dhamana ya kumlinda Rais na siri za Ikulu.

Nimejifunza pia kama wananchi wengi hawataelimishwa kuhusu matumizi ya mitandao ya kijamii kuna uwezekano ''mpumbavu'' fulani kutunga uzushi wa suala fulani linalogusa hisia za wengi na wengi wakaamini na kufanya jambo ambalo linaweza kuleta madhara makubwa kwa taifa.

Mwisho kabisa nimejifunza kuwa inatakiwa kwanza kuchukua muda kabla ya kuamini kile ambacho kimeandikwa kwenye mitandao ya kijamii kwa sababu ukweli hukawia kufika.

Nimalizie kwa kuandika, Nimeamini Uongo hupanda kwa lifti. Ukweli hupanda kwa ngazi ili kumfikia mlengwa!
Wewe ulivomwangalia Magufuli wa Jana unaamini ni mzima wa afya kabisa kabisa? Binafsi naamini kulitokea Hali ya kutetereka kwa afya ya Mh.Rais, kikubwa nashauri ajipe Muda apumzike ashughulikie afya yake, He is not OK 100%
 
Kwa ujinga waliouonyesha kwenye mitandao kuhusu taarifa za uzushi za hali/afya Rais ni wazi kuwa Chadema hawastahili hata uenyekiti wa mtaa... Tuendelee kuchapa kazi...
Uzi Tayari

Jovic Jovic
Chadema hawapaswi hata kupata mbunge mmoja! Subiri tu,
Na tujiulize pia kuwa Cdm wasipopata uongozi wowote Je Tanzania itakuwa paradiso ?! Je ni Chadema walioikwamisha Tz kufikia umasikini kiasi hiki ?!.

Bado ninaamini kupishana mawazo si dhambi.
 
Nimejifunza kiongozi huyu hapendwi kabisa na wananchi wake! Walifurahia sana kuwa bora anaewanyanyasa na kujiona mungumtu kaondoka!
Hapendwi?
Anachukiwa na lile kundi la WAPUMBAVU,MALOFA........ukiwemo wewe,ni MPUMBAVU,LOFA.
 
  • Thanks
Reactions: nao
Hapendwi?
Anachukiwa na lile kundi la WAPUMBAVU,MALOFA........ukiwemo wewe,ni MPUMBAVU,LOFA.
Walovunjiwa nyumba ni malofa? Ndugu za waliopetezwa kina Ben saanane ni wapumbavu? Watumishi wa umma wanaotukanwa ovyo, viongozi waliotumbuliwa kwa uonezi huku wapendwa wake kinabashite akiwa piga kiwi?

Huyo dikteta wenu asiejua kuendesha nchi kwa kufuata sheria anapendwa na mbumbumbu na wanaofaidika nae!
 
Back
Top Bottom