Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Tumejifunza nini kama Taifa kuhusiana na uzushi kuhusu afya ya Rais Magufuli?

Zitto hafai ni mnafiki wa kisiasa.
Alishabikia sana jana,huku akipost na mshumaa.
Chuki za Zitto ni kuwa alitegemewa angepewa uwaziri wa nishati,hata walipotoka nje ya bunge wenzake ,yeye akabaki peke yake na akasifiwa na mkuu wa kaya,lakini mkuu wa kaya anamjua fika huyu Zitto ,akawachukua akina Mkumbo na mama aliyekuwa mwenyekiti wa chama chake,na yeye akiachwa kwenye mataa na hapo ndipo Zitto alipoanza roho ya kwanini kwa utawala huu.Zitto unafiki wake sijui utamfikisha wapi sasa anajikomba kwa Lissu,tayari akina Nape,Bashe,Makamba wamesha soma alama za nyakati sasa Zitto kabaki anahangaika na wanawake ambao ni manunganyembe yaliyokubuhu hadi yamekimbiwa na walio kuwa waume zao
 
Waliokuwa wanahangaika na huo uzushi ndo hao wamerudi tena kivingine. Hizi tathimini zenu za social media ni sawa na wale Motivation speakers,subilini kwenye sanduku la kura mjue kama watz wanampenda Magufuli ama la otherwise ni mbwembwe zenu na hekaya za kila siku
Sanduku LA kura zipi ulilokusudia ww wakati jiwe kashasema yy haondoki madarakani tena
 
Sanduku la kura halijawahi kusema ukweli wakati wowote, Nina rafiki yangu mtendaji wa mtaa ameandikisha vitabu halali vitatu Cha ajabu baada ya kuwasilisha kwa mtendaji kata amerudishiwa vitabu vitano (viwili vya ziada na majina asiyoyajua) na maagizo kuwa anatakiwa abandike majina yote hayo akianza na majina feki na baada majina halisi! Je uchaguzi mkuu utakueje Kama wa local gvt umejaa udanganyifu wote huo?
Siwanamtegemea jecha na lubuva
 
Wakati mwingine Mods muwe mnafuta nyuzi za kipuuzi, uhuru wa maoni usio na mipaka ni uvunjifu wa sheria, Si kila mtu lazima aanzishe thread, kama huna misamiati mizuri kichwani mwako aheri ukae kimya usome post za wenzio....
Muhimu ni kutofungua au kupita kushoto nyuzi usizotaka kuzisikia ndoo maana ya jukwaa huru
 
Jiwe ni kitu kisicho na uhai kisicho na hisia kisichowezabadilika.
 
1. Rais afanye full checkup ya afya yake na apate muda wa kupumzika.
Atakama aumini kama uchawi hupo aufanyi uchawi usiwepo..! Kwa clip iliyotembea na kuendelea kung'ang'ania eti afanye checkup ya afya yake ni upuuzi mtupu.
 
Waliokuwa wanahangaika na huo uzushi ndo hao wamerudi tena kivingine. Hizi tathimini zenu za social media ni sawa na wale Motivation speakers,subilini kwenye sanduku la kura mjue kama watz wanampenda Magufuli ama la otherwise ni mbwembwe zenu na hekaya za kila siku
Nadhani wengi wangejitokeza kujiandikisha
 
Ni Sawa labda aliambiwa na mtu mwenye smartphone lakini bado tunarudi pale pale asilimia kubwa Sana hizo siku tatu za uzushi walikua hawajui chochote,kwenye magroup ya whatsup kwenyewe haikuenea kiivyo kila mtu alikua akiogopa kuanza kueneza huo upupu,uku kwenyewe ilienea Sana kwa vile watu hawatumii majina hao halisi kwa ikawa rahisi watu kujiachia
Social media ni sample research
 
Bwana atainyoosha kutoka Mbinguni fimbo ya nguvu zake, ili Mh. John Pombe Joseph Magufuli awe na Enzi, Nguvu na Uweza wa ajabu dhidi maadui zake.
Kwa nguvu za Mungu mwenye nguvu natamka kwamba, watafanya kila wanalodhani litamdhoofisha MH. JPM, lakini kamwe kamwe hawataweza. Zaidi sana wataaibika tu. Na aibu yao itakuwa ni LAANA kuu juu yao. LAANA hiyo itaanzia miilini, vyumbani mwao na popote waendapo. Chochote wakiwazacho, wakinenacho, wakitendacho nk. vitakuwa ni LAANA juu yao.
Au la, wanatakiwa kuomba msamaha wa kweli.
 
Kuzushiwa kifo si jambo dogo kwa kiongozi wa nchi tena kwa muda wa siku mbili mfululizo wananchi kubaki katika sintofahamu.

Hilo ni moja zaidi yake ni reaction ya watu hasa katika mitandao ya kijamii ambayo ni representative ya wale wasio kuwa nayo mizani kuelekea upande wa wale waliofurahia sana habari hiyo.

Kama Rais akipata wasaa wa kuona mitizamo ya watu kuhusiana na kifo chake, basi tutegemee hasa kuona mabadiliko makubwa katika kauli zake na matendo yake. Kauli za kibabe, kebehi, sipangiwi na mtu, acha kiherehere, Mimi Rais wa wanyonge tutegemee kupungua kwa kiasi kikubwa.

Atakuwa ameona ana kikundi cha watu wachache sana wanaomshangilia na kumpigia makofi kinafiki huku kundi kubwa likiwa linavuja machozi ya damu na hawa ndiyo wanyonge. Kundi hili ndilo lilikuwa linasubiria breaking news ya msiba wa taifa.

Kwa sasa atakuwa anajitafakari sana idadi ya watu isiyomtakia mema hivyo kuangalia approach mpya katika uongozi wake. Huna namna utauona ufalme wa mbingu huku watu ulioukuwa ukiwaongoza wanasherehekea kifo chako.
Awatafakari wajinga
 
We huoni hata siku ile 20.10.2019 anaapisha huku hana hamu na waTz

Mimi muda wote ni msema ukweli siwezi kuficha kama kuna kitu ambacho kinaigizwa waziwazi kwa faida za wengine.

Hivi tunaweza Kukaa na kuhubiri umoja kwa ujinga wa kuwavumilia wakina Musiba na mwenzie Habibu mchange ambao inaonekana wazi system inawatumia kuendelea kuvuruga umoja uliokuwepo hapo awali.Mbona kipindi cha raisi mstaafu kipenzi cha watanzania wote huu ujinga haukuwepo ndani ya serikali bali waliachwa wapinzani ndio wafanye siasa hizo maana sisi ilikuwa ni kudumisha umoja.

Lakin leo ambayo ndio serikali inayojinasibu kuwa na Uzalendo,Utu na Kupendana lakin nyuma ya pazia inaleta wajinga wachache wanaoharibu ndani na nje.

IMG_20191021_231040.jpg
 
Back
Top Bottom