Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Dawa za kulevya na viungo vya binadamu vinahitajika sana. Mtoto wa 17 yrs unadanganywa nae kirahisi hivyo? Kule hawana masihara. Utafungwa au yakupate makuu ya kuliwa VIUNGO VYAKO. Sijawahi kuona mzungu ANATOA HATA KIKOMBE CHA KAHAWA BILA MASLAHI. Uliza uelezwe. Akikupa ofa mkikutana na wenzie anakuuliza kamaculifurahia kahawa aliyokupa.
 
Kwanza ana uhakika gani kuwa huyo binti ni wa miaka 17? Tahadhari sana kijana watu usiowafahamu unadhani watakupa pesa za bure?

Vijana wenzako wameshakuonya ni vyema uwe msikivu. Hivyo vipesa anavyokuletea inawezekana ni mbaba mzima huyo anakutegeshea tu.

Nunua tiketi uende kule ukageuzwe punda wa kubeba madawa ya kulevya, au 'mtoa huduma' kwa akina mama fulani, halafu huna hata fedha za tiketi ya kurudia ndipo akili itakaa sawa.
 

Sasa nenda mzee usitushoshe
 
Picha zako wanazo nyingi mpaka za uchi, watakukamata tu
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Utaenda kuliwa tigo na kuuliwa wachukue viungo vyako.
Kuwa makini sana.
 
Don't go currently kuna biashara za viungo za sex trafficking mtegee mwambie aje
 
Dukua mawasiliano yake kama kuna mpango mchafu utagutuka mapema!
 
Asanteni kwa ushauri naomba niungane na wanaosema niende

Mtoto ananisubiria kwa hamu sana

Kufa ni popote jamani
Tupeane connection mie pia natakaaa kwenda majuu serious [emoji23]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…