Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Kama unaweza figo zako, na viungo vingine viache Tanzania kwa tahadhari tu.
 
Duuhh.... ngoja nami nikaupitie huo uzi

Jamaa ameelezea vizuri sana japo hajamalizia,,, Hope akipona atamalizia yaliyomkuta...

Alisisitizwa No free Lunch na kuna wadau humu walimshauri atembee na Vaseline ila akapuuza akawaona kama kina Nikki minaj....

Acha tusubiri amalizie yaliyomkuta ili wengine wajifunze.
 
...Yaani katika Wanaume Wote wa Malta amekuona wewe na kufall Kwako Mtanzania?? Binti wa Miaka17?? Jiulize! Utoto Raha Sana...!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…