Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Yaan negative comment ni nyingi
Kuna kitu kinaitwa grooming kuna uwezekano mkubwa atakuwa anapangwa, kuna documentary moja niliiona nafikiri ni Aljazeera, ni binti mdogo miaka chini ya 20 , alikutana na mtu online wakaanzisha mahusiano, binti alikuwa Uingereza, jamaa yupo Syria na ni mpambanaji wa ISIS. Sasa mahusiano yalivyopamba moto binti akatoroka Uingereza kwa kutamani kuishi maisha ya Syria. Alivyofika kukuta mambo ni tofauti na matarajio akataka kurudi Uingereza, serikali nayo imekaza wanasema yeye ni tishio, ndio walikuwa wanamhoji analalamika, yupo tayari arudi hata kama mfungwa Uingereza☹️
 
Comment nyingi hapa hazitofautiani na wanakijiji wanapojadili kuhusu safari ya kwenda mjini kisha wengi wao wakashauriana kuwa bora wabaki kijijini kwa kuwa mjini kuna magari mengi barabarani hivyo ukifika huko utagongwa tu!

We jamaa nenda Malta. Kwenye hiyo akili iliyokuwezesha kumfanya mtu kukutumia pesa kwa hiari yake, ongezea upeo kidogo sepa kasake maisha ughaibuni kisha wekeza nyumbani.
 
maelezo yako ni sawa na wale wanaopima ukimwi kwa kumuangalia mtu alivyonenepa.
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kifo kipo kila mahali hata ukiwa ndani umelala bora ufe ukitafuta unachokiamini kuliko kufa kizembe
Just go bro kwani kufa bei gan
 
Human trafficking.... Ukitaka kuruka agana na nyonga... Maamuzi ni yako mkuu nakutakia safari njema ya mwisho wa mwaka

Sent from my SM-G570F using JamiiForums mobile app
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ katuma milion 6, ukifika akivuna hizo figo anapata zaid ya 100m, well calculated

πŸ˜„πŸ˜„πŸ˜„ natania nenda kale maisha kijana
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Tamaa mbele mauti nyuma .Mapenzi yapo sikatii lakini angalikuja yeye mwanzo baba kamkataza mbona haiingii akilini yy ni Mmalta original au ni mgeni tu miezi 5 ni kidogo sana kumjua mgeni ww endelea kuchat nae na hiyo pesa mrejeshee kwa west union.
 
Nisikilize mm sasa ww nenda mkuu usijali wala nn mbona Wana wengi washafanya hivyo Ila jaribu kuisoma zaidi hiyo sehemu Maisha Yao, tamaduni , Hali za kiuchumi na kadhalika km Maisha Yao si ghali na kuna fursa unaweza kujaribu Maisha Huko.
 
Una umri gani?
 
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚

Mkuu amka toka usingizin, habari kubwa hapa bongo NI hamphrey polepole kaitwa ktk tume ya maadil ya chama,

na wiki lijalo NI Xmas..izi ndoto zitakupoteza Safari yakuushinda umaskin Bado NI ndefu
hhahahaha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…