Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane


Kajaribu bahati yako bana achana na hawaa
 
Usije ukaliwa kifala, sifa ya mwanaume ni mtu asiyependa slope
 

Kwa hiyo bora kufia kwenye viroba Malta na sio TZ? 😁
 
Nakushaur ukienda hurudi utafia huko sikufichi na niamini ninavyokuambia tena utaenda kuchunwa ngozi na huyo binti hatohusika hata kidgo
 
Mwambie hujaruhusiwa kutoka nchini hivyo yeye ndio aje.
Kuhusu swala la wapi atafikia hata kwangu nitajitolea.
 
Nimewahi kumdokezea hili kwamba aje huku akasema baba yake hatakubali coz yupo chuo na vibali hana akashauri labda tukutane UK ,sasa nikajiuliza mtu wa vijijini huku nifikeje UK ,hata mia sina,nikapotezea hiyo ya UK

Sometimes unajilipua ila kws binti wa 17yrs kutuma hio pesa think like a MAN brw anasoma hana kazi anapewa na wazazi mzee becareful sana. Hata kama hatukujui bado tunakupenda ndugu yetu
 

Hahaha mkuuu hata samak mpaka umnase na ndoano lazma uweke chambo otherwise huwez mnasa. [emoji28][emoji28]
 
Kama unahofia usalama mwambie ni vigumu sana ww kupata visa ya malta hivyo unaomba aje Tanzania, utampeleka sehemu nzuri kama ngorongoro, serengeti na zanzibar ata enjoy.

Kama pia ana wasiwasi basi mkutane dubai au nchi nyingine ya kati lakini kukutana huko subiri afikishe angalau 18 years usijeishia jela.

Ila ukiamua pia unaweza kwenda ukafikia hotelini kuonana inakuwa sehemu ya public kama kwenye mall au hata kwenye lobby ya hotel yako. Usiende anapoishi na usipande usafiri wake tumia usafiri wa umma au Uber.

Pia unaweza kufanya utafiti mtandaoni kumhusu, akupe details zake kuna sites unamhire mtu anakufanyia hiyo kazi kama huwezi, utagundua tu ukweli kama kuna mashaka.
 
But to me, still hard to accept it. But judgment & final decision still upon you... But take care!!!

Hahahahah[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] hili bati ni la nabaki Africa daaaa....Jf hatari sikutegemea kweenye maisha yangu hapa Jf kukutana na bati nyingi hivi kwenye sentensi moja [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kaka , akili za kuambiwa changanya na zako.

Mimi nakushauri wewe mtangulize MUNGU nenda huko malta ukatembee...binadamu wengine wana wivu watakutisha sana ili wakuharibie nyota yako na kilicho mbele yako.

Kama moyo wako una amani Wewe nenda wala usihofu wa kuogopa lolote lile.

MUNGU ni mwaminifu.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] But not like this,

Sent from my SM-A107F using JamiiForums mobile app
 
nenda ukanywe grand malta uko usiogope wewe ara eipii in advance uko malta
 
uko kuna biashara kubwa tu ya viungo vya binadamu kwa hiyo kua makin kijana ny3ge hizo zita kuponza
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…