Tumekutana Instagram, amenitumia nauli niende kisiwa cha Malta tuonane

Weka skrini shoti za convo. By the way kama ni kweli wameshawahi kukuuliza kama unatumia kilevi cha aina yoyote ile?
 
Aache tamaa. Aje Mwanza kutafuta mke bora.Mambo ya kutafuta mserereko yatam-cost
Sasa tukirudi nyuma anaenda Malta kufanyaje yaani? Yaani genye zikutoe hapa tz to Malta wakati wengine hata wilaya-wilaya hatuwezi.
Vitu vingine huwa vinakuja automatically especially masuala ya mapenzi unapita katika pitapita zako unakutana na pisi kali unachakata papuchi then unapita hivi sio kusafiri kutafuta papuchi
 
Mkuu ushahidi hua ni kitu kizuri, ila kwa hio pesa pia kama ni nauli tu mbona unafika pengine labda uwe huna gamba la kuvukia boda (2700 ) kama ni usd ni zaidi ya milion 6 ya bongo ,au umetumia Dollar ya sudani sheikhe?
 
Toa neno mtoto Mataifa ya ulaya na mabara mengi tofauti na Afrika mtoto mwisho miaka15 hata bongo sheria hii inakuja soon,watoto wako baby nursery sheikhe sio chuo.Usijeponzwa na miaka mjuba
 
Kula hela badili line mzee! Akikutafta mwabie uliuziwa simu ya wizi😀 na ukasingiziwa kesi kwahio ulikaa jela miezi 6 bila mawasiliano.

Zingatia kanuni, first date mtoto analiwa kwako!
Akili kubwa sana hii mkulungwaaa
 
kabla hujaenda nje ya nchi kwa mwaliko, ni vizuri sana ukafaham je Tz kuna ubalozi wao huko, kama ndio ukifika tu ripot kwanza ubalozini, usikurupuke sana wazungu hawajaacha sana ubaguzi!!
 
Bro figo inafika adi tsh million 80, moyo adi million 500
 
Best comment,thanks bro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…