Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Akienda harudi walah
Aache tamaa. Aje Mwanza kutafuta mke bora.Mambo ya kutafuta mserereko yatam-costAcheni kumtisha mwenzenu siku zote wazungu wanasema The cave you fear to enter holds the treasure you seek
Au nimzime hii hela na niblock
Sasa tukirudi nyuma anaenda Malta kufanyaje yaani? Yaani genye zikutoe hapa tz to Malta wakati wengine hata wilaya-wilaya hatuwezi.Aache tamaa. Aje Mwanza kutafuta mke bora.Mambo ya kutafuta mserereko yatam-cost
Toa neno mtoto Mataifa ya ulaya na mabara mengi tofauti na Afrika mtoto mwisho miaka15 hata bongo sheria hii inakuja soon,watoto wako baby nursery sheikhe sio chuo.Usijeponzwa na miaka mjubaSema mim nimemuamini kwa sababu ni mdogo, pia tunapochat kupitia video call anakuwa free na hata kama nikimwambia nionyeshe sehemu fulani ya mwili ananionyesha,pia ananionyesha mpaka chuo alipo akiwa darasan ,akienda hostel ananionyesha,akienda beach na marafiki mpaka anawapa na sim wananisalimia kwa video,wawapo matembezini mjini,sjui lakini mimi nahisi mtoto yupo serious na Mimi na yupo in deep love
Akili kubwa sana hii mkulungwaaaKula hela badili line mzee! Akikutafta mwabie uliuziwa simu ya wizi😀 na ukasingiziwa kesi kwahio ulikaa jela miezi 6 bila mawasiliano.
Zingatia kanuni, first date mtoto analiwa kwako!
Weka mbali na watoto chini ya umri wa miaka 18Akili kubwa sana hii mkulungwaaa
BalaaaaaWeka mbali na watoto chini ya umri wa miaka 18
Best comment,thanks bro
A.Flight Dar es salaam to Valleta, halafu check prices kwenye websites za mashirika ya ndege
1.Turkish Airlines
2.Fly Emirates
3.Qatar Airways
4.Ethiopian Airlines
Kwa haraka haraka pesa kwa nauli inatosha
B.Viza
Ghrama inaweza kuwa around 250,000-300,000
Budget 500,000 pamoja na travel insurance.
Hapa inabidi akupe mualiko, akupe documents za mahali pakufikia,adresses zake.
Sasa kama hana vibali, amefikiriaje au atatumia huyo dada ake?
Inabidi uangalie ukitaka kwenda Malta viza unaipatia ubalozi wa nchi gani maana sidhani kama wana ubalozi Tanzania.
Kwa milolongo yoote hiyo, hiyo pesa inatosha na itabaki angalau kidogo.
Chenye gharama ni nauli na itategemea na season gani unataka kusafiri.
Ila si shauri uende kwa sasa bado unahitaji vingi kufahamu kutoka kwake,sometime kwenda ulaya sio shida ila shida unafikia wapi na unaishi vipi ukifika kule.......Ila usile nauli [emoji23]
Hahahaha dah!Halafu kuna mamtu yanasema wanawake tunapenda pesa...... Cosovo ni mwanamke???