A
Uje utupe taarifa iliyo kamilika...Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma.
Malipo yalikuwa ni kwa awamu ndani ya miezi 24 na makubaliano yalikuwa ukifikia asilimia 80 unakabidhiwa hati. Sasa tumelipa zaidi ya asilimia 80 na tukajazishwa fomu za hati, ila changamoto imekuwa ni kwamba hatupati mrejesho wowote kutoka kwao na bahati mbaya simu zao hazipatikani pia ofisi imefungwa hapo tumepata wakati mgumu.
Tumefanya jitihada za kuomba msaada serikalini ikiwa ni kuandika barua kwenda kwa mkurugenzi wa jiji kuomba msaada wake ila hadi muda huu hatujapata mrejesho wowote.
Wasiwasi ni kwamba tunahisi jamaa wametutapeli maana tunasikia wengi wakilalamika bila kupata msaada, tunaomba serikali iingilie kati suala hilo ili tupate haki zetu
Mkuu unaleta tuhuma za utapeli kwa HISIA?, weka facts mezani na ushahidi wa kutosha kuwa umetapeliwa.Wasiwasi ni kwamba tunahisi jamaa wametutapeli maana tunasikia wengi wakilalamika bila kupata msaada, tunaomba serikali iingilie kati suala hilo ili tupate haki zetu
Nasikia vikonje yote,watu wanatakiwa watoke Maana IPO karibu na TBC na fence ya Ikulu,ni kweli?Kero yangu ni kuna kampuni inauza viwanja inaitwa Landmatrix Ltd walikuja ofisini kwetu na kutueleza kuwa wanauza viwanja vilivyopimwa maeneo mbalimbali mnamo mwaka 2024 kwa wakati huo walikuwa na mradi eneo la Vikonje 'BM', Dodoma.