Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

Tumemsikia Lissu akitoa Pole kwa Rais, Lakini Mbowe na Lema walipotoa Pole CHADEMA wamewashambulia; Kwanini wasimseme Mwenyekiti?

Vale Nafaka anakukubali sana.
My dream girl 🥰😍

Screenshot_20260913_204628_Chrome.jpg


MamaSamia2025 min -me mshamba_hachekwi
 
My Take

Nadhani kuna shida mahali.
Duh... Kumbe Tundu alishaenda KIzimkazi kumpa mama yetu pole na wengine hatujui....

Kama ni ile kauli ya mahakamani alisema "wapeni pole wafiwa" Hakumtaja mtu na waliofiwa siku hiyo walikuwa wengi
 
Back
Top Bottom