Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
63,685
Reaction score
128,178
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
 
Kwani umelazimishwa kusikiliza? Akupumzishe wewe. Amekuchosha? Kama hutaki msikiliza lala mbele acha ambao wanataka msikiliza wamsikilize.
 
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.

Wahuni, vibaraka wao, na mambumbumbu yote:

GFfUGgLWkAAh9uE.jpeg

Yamefikiwa.

Polepole tangaza muda mwingine tena wahuni na machawa yao watakuwapo!
 
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
Jambo litakuumiza iwapo utalifatilia,dawa ni kuacha kulifatilia utakuwa safe side.
 
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
Wanaomfuatilia ni wapumbavu tu wanaojiburudisha. Sahv wameacha NRNE, wanadandia kila kihoja wajifurahishe ndio maana wataishia mafukara
 
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
Wewe endelea na machapisho ya 'Leo simba akimfunga Yanga nitakunya barabarani kuanzia mbagala mpaka Mwenge ".
 
Angalia chuo kikuu cha mtakatifu Augustino wasije kunyang'anya degree yao. Mara hii umesahau madesa ya media na mass communication?
 
Polepole na Baba ake plpl na familiya yote na fans wake wote huwezi cheza na SERIKALI .Ulikuwemo na umetoka katafute jembe ukalime kelele za mlango hazimuamshi mwenye nyumba .Raisi Samia achana na plpl wala usimjibu unajua Raisi wangu umekuwa mpole sana sana hawa watu wanataka uwe kama Makufuli ndio watashika adabu yao.Mitano tenaaaaaa SSH Nakupenda tupo salamaa.
 
Back
Top Bottom