Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

Tumeshachoka sasa na hizi... Polepole atazungumza na Taifa saa fulani......kwani zinaboa na anaboa vile vile

Mkuu shughulikia masuala ya timu lako bovuu huku kunahitaji wenye akili timamu....
 
Atupumzishe tafadhali Watanzania ili tupige Kazi tupambane na Maisha.

Kama ana Bifu na Rais Samia mwambieni aombe kukutana ili wakamalizane.

Tokea nianze kusikiliza Ngonjera zake sijaona lenye maana.

Mwambieni tumechoka na tumemchoka. La muhimu Kwetu ni Lissu kuachiwa.
Wewe endelea kushabikia Simba na yanga huku wahuni wakitorosha madini
 
Back
Top Bottom