Nampendamilele
JF-Expert Member
- Jun 12, 2024
- 427
- 653
Hana babaKamsemee kwa babaake
Wewe jeMambo ayapendayo @loose Nuts
Ngoja aje kukushauri.
Sawa AsanteAnzisha mahusiano,achana na mnunaji
Nampenda ila hanipendiBado unampenda?
Sawa mamaMaisha yalivyo race sidhani hata kama unahitaji kumrudia..!!
Fanya maisha yako, huyo hakupendi ni vile umechelewa kujua hilo..!!
Wewe tulia kwanza usije ukagonganisha magari.Nampenda ila hanipendi
Kuna kitu kilitokea mkuu then hajakisolve wala kusema chochote a naongea na mimi kama vile Hakuna kilichotokeaKuna mdada mwingine kwenye confession page alisema aliachana na wanaume wa 3 tofauti, hawakugombana, ila tu ni ile silent treatment, mtu anajiona akimtafuta mwenzake atakua anajishusha, mwishowe uhusiano unakufa..
Mahusiano mengine mengi ya sahivi, hamna anaetaka kuonekana mnyonge kwenye mahusiano, mnaeza mkawa wote moyoni mnapendana, ila kuonesha upendo ndo kipengele, mwishowe mahusiano yanakufa, mnabaki single.
Watu wengi wanataka kuoneshwa upendo, ila wao kuonesha upendo ni kipengele
Mwezi mmoja sasa yupo kimya anaweka status anaview zangu na like juu yaani ni first viewer kwenye status zangu ila ku Nicheck kipengeleWewe tulia kwanza usije ukagonganisha magari.
Unaonekana ni mnyonge wake mkuu. Wenzako wasiojali wangeshafuta hadi namba.Mwezi mmoja sasa yupo kimya anaweka status anaview zangu na like juu yaani ni first viewer kwenye status zangu ila ku Nicheck kipengele
Kamsemee kwa ndugu zakeHana baba
Sasa si ndio nataka nifanye uamuzi wa ku move onTukikwambia umeachwa utakasirika 😳