Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Wewe ni Me ama Ke???

😄😄 Hili swali la kitambo sana humu
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Nenda kalewe halafu urudi usiku wa maanani akiwa amelala akikusogelea unamtapikia.
Halafu unaanza kupretend unamsafisha kidogo, ukimaliza unaensa naye bafuni unamgeuza unamchapa kimoja
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Kwanza jambo la muhimu kufahamu kuwa kunyamaziana kupo hata kwenye ndoa,mimi nina miaka 40 ya ndoa tena ndoa ya wake 2.Sasa muhimu pia ni kuwa hakuna mgogoro mtakaoumaliza kwa kutoongea.Kuongea ni muhimu sana na kama haanzishi yeye,unaanza wewe.
 
Mwezi mmoja sasa yupo kimya anaweka status anaview zangu na like juu yaani ni first viewer kwenye status zangu ila ku Nicheck kipengele
Unafikiria kuanzisha mahusiano mapya au kuna mtu anakarishwa kwa kiti cha usukani coz kipindi cha mwezi mmoja mtu kuwa kimya then next month ukawa na mtu mwingine ni kwamba uyo alikuepo tyr
 
Ongea na mwenza wako Kwanza umsikilize kwanini yuko kimya, acha kuhisi, wala kudhania mambo, akikwambia hana interest na we ndo uchukue maamuzi ya kubreakup, unaweza ukawa unasubiri akupigie na yeye anakusubiri hivyohivyo fulfill yours first.

Back
Top Bottom