Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

silent treatment ndo style yangu ya kuachana na mwanamke, MI sipendelei kuchat au kupigiana simu kila saa, hiyo inanikera kwa hiyo ntamkaushia mpk aelewe.
hiyo kuview status anakumanipulate tu ubaki njia panda
sepa hamna penzi hapo
 
Kuna mdada mwingine kwenye confession page alisema aliachana na wanaume wa 3 tofauti, hawakugombana, ila tu ni ile silent treatment, mtu anajiona akimtafuta mwenzake atakuwa anajishusha, mwishowe uhusiano unakufa.

Mahusiano mengine mengi ya sasa, hamna anayetaka kuonekana mnyonge kwenye mahusiano, mnaweza mkawa wote moyoni mnapendana, ila kuonesha upendo ndo kipengele, mwishowe mahusiano yanakufa, mnabaki single.

Watu wengi wanataka kuoneshwa upendo, ila wao kuonesha upendo ni kipengele
Kumbe na ww ni mdau
Niliona pia hi stor kwenye page 1 hivi insta

Ss wakamshauri awe king'ang'a
Jmn nilicheka akasema ye hawezi 🤣🤣🤣🤣
 
Raha ya ex mgombane mpeane shits za kutosha, ila hiyo ya kunyamaziana na mbaya zaidi unampenda siku akijirudisha na wewe huyo chap unachanua miguu, kumbe mwenzio hana muda na wewe, kumsahau ex wa hivyo ni ngumu sana inataka uwe na ego ya hali ya juu sana

Mtafute umchokonoe ili akuchambe walau akutukane na wewe mpe vyake, mlambe 🚫 halafu songa mbele km injili
 
Kumbe na ww ni mdau
Niliona pia hi stor kwenye page 1 hivi insta

Ss wakamshauri awe king'ang'a
Jmn nilicheka akasema ye hawezi 🤣🤣🤣🤣
Wadada wengi wamejiegesha tu kwenye mahusiano, mfano unakuta mdada type yake ambayo akiiona chini panaloa ni mwanaume mrefu mweusi, ila kila mara anatongozwa na wanaume wafupi wenye vitambi, anaona kuliko kuwa single bora a-settle huku akiendelea kufaidi maokoto ya huyo mwanaume mfupi mwenye kitambi.

Sasa vuta picha mtu kama huyo si lazma aone uvivu kumtafuta mchumba wake, anakua hamtafuti mwanaume mpaka mwanaume amtafute.

Na hivi siku hizi social media imekua, na wanaume wengi pia ufahamu wetu umeongezeka kiasi flani kuhusu maswala ya mahusiano, maboya wanaanza kupungua mtaani, mwanaume akiona kila siku effort anaweka yeye, mdada hajigusi, mwanaume anajiongeza anaona hapendwi na yeye anakausha Tayana-wog
 
Nimecheka
Duh yaa kwa kiasi fulani sahihi...
Lkn ss kujiegesha nayo km tu uta treat vzr huyo mdada mbona anatulia tu
Maana wanawake wengi ukuwa treated vzr ht km mtu ulikuwa humtaki , humpendi huwa upendo unazaliwa....
 
Hadi unaanzisha uzi huku ni ishara kwamba huna maamuzi yoyote unayoweza kufanya , hata ukishauriwa utaendelea kuwa king'ang'a tu
 
Mmh sidhani kama ni upendo kuzaliwa kama inatokea basi ni rare case, mimi nafikiri ni ku-settle, mtu moyoni anataka pilau nyama, ila amepata ugali maharage, anaamua kuridhika sababu hata ugali maharage nao unashibisha na unafanya aishi, labda uniambie utakua umemzoea tu mkishaishi miaka mingi, bond flani inakuepo, kama ile ya mzazi na mtoto, au ya rafiki na rafiki, ndo kinachotokea kwa mwanamke alieamua ku settle

Hata hawa mama zetu na bibi zetu waliokaa kwenye ndoa kwa miaka 20+ au 30+, utaskia huyu mwanaume hadi kunipata nilimzungusha mwaka mzima, unadhani waliwazungusha hao wanaume sababu walikua wadada wema sana, ukiwauliza kwa undani zaidi utaskia nilikua na boyfriend wangu mwingine niliempenda ila akawa haeleweki.

Wanaume wengi siku hizi social media imetufanya tugundue hilo, unadhani kwanini siku hizi mtandaoni wadada wengi wanalalamika mwanaume akitongoza mara moja ukimwambia hapana tu, ndani ya wiki ashafuta na namba na ku-move on, watu wamejanjaruka sahivi Tayana-wog
 
Raha ya ex mgombane mpeane shits za kutosha, ila hiyo ya kunyamaziana na mbaya zaidi unampenda siku akijirudisha na wewe huyo chap unachanua miguu, kumbe mwenzio hana muda na wewe, kumsahau ex wa hivyo ni ngumu sana inataka uwe na ego ya hali ya juu sana

Mtafute umchokonoe ili akuchambe walau akutukane na wewe mpe vyake, mlambe 🚫 halafu songa mbele km injili
Kiburi kipo update nishazoea kuview status tu
 
Hadi unaanzisha uzi huku ni ishara kwamba huna maamuzi yoyote unayoweza kufanya , hata ukishauriwa utaendelea kuwa king'ang'a tu
Maamuzi yangu ni ku ngoja anitafute nimejipa na muda wa kuwa single ikitimia miezi3 naanza upya
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Umeshaachwa.
 
Back
Top Bottom