Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Mrejesho mpk sasa ni bila bila hatusemeshani ila yeye yuko active kwenye kusubiri nachopost kisha aweke like ku comments hataki basi na mimi nahitaji kuwa na picha ambazo najua nikipost lazima ata like 😂😂😂
Sasa umeiva binti
Enjoy life
 
Hivi akishapatikana wa malengo hizo backup zinakaa upande gani??

#YNWA
#YANGA_BINGWA
TukisemA backup ni watu tumewaweka kwenye friend zone yaani hatuwaambi hatuwataki wala kuwataka
Akipatikana wa malengo na tukafika lengo lenyewe backup wa nini tena
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
My dear kwani hukuwa na backup?

Simu zenyewe betri zinawahi kuisha chaji muhimu kuwa na power bank
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Kwani ndo mwanaume wako wa kwanza?
 
Mtafute Joseph Mrindoko (Mchokonozi) atakupa ushauri mzuri, baada ya kumsikiliza clip zake kadhaa,leo ndo nimejua kuna makundi tofauti tofauti kati ya mwanaume na mwanamke na namna ya ku deal nao
 
Mrejesho mpk sasa ni bila bila hatusemeshani ila yeye yuko active kwenye kusubiri nachopost kisha aweke like ku comments hataki basi na mimi nahitaji kuwa na picha ambazo najua nikipost lazima ata like 😂😂😂
Ndo mwanaume wako wa kwanza???
 
Kuna kitu kilitokea mkuu then hajakisolve wala kusema chochote a naongea na mimi kama vile Hakuna kilichotokea

Mimi kumtafutaa ni kama kujipendekeza ni kama hanitaki tu
Achana nae fanya mambo yako
 
Back
Top Bottom