Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Saa ingine hakuna cha kuwa avoidant, unajua kwenye dating market watu wengi hawapati machaguo yao wanaoyataka, kama ni wadada wanatongozwa na wanaume wasiowataka, vivyo hivyo wanaume wanapata tu wale wadada ambao hawajawapenda, hivyo mtu anaona kuliko akae single ni heri ajishikize tu huku akiangalia kwingine, hivyo anaona hana haja ya kuwekeza kwenye huo uhusiano KateMiddleton
Kwani ukikaa single unapata hasara gani?
 
Kwahiyo hakuna wadada wenye pesa zao na wako single ni wasio na pesa tu🫢
Wapo wadada wenye pesa zao wako single, na mara nyingi wapo single kwa sababu wanataka mwanaume mwenye pesa kuzidi wao, kupata mwanaume wa hivyo hapo sasa ndo inakua changamoto, unakuta wanaume wenye kipato kumzidi ni waume za watu au wababu, vijana in their early 30's and 20's wengi bado wachovu kiuchumi. Seran
 
ww still have a long way to go🤦🏽‍♀️
 
Ckuiz watu Wana ego za kijinga sana especially wanawake.
Sasa unakuta wewe ndo umemnunulia simu,umemuunga bundle na vocha ila amekaa tu anasubiri wewe ndo uanze kumtafuta
 
Saa ingine hakuna cha kuwa avoidant, unajua kwenye dating market watu wengi hawapati machaguo yao wanaoyataka, kama ni wadada wanatongozwa na wanaume wasiowataka, vivyo hivyo wanaume wanapata tu wale wadada ambao hawajawapenda, hivyo mtu anaona kuliko akae single ni heri ajishikize tu huku akiangalia kwingine, hivyo anaona hana haja ya kuwekeza kwenye huo uhusiano KateMiddleton
Hili nalo ni sahihi kabisa
Na kupenda kweli kunatokea kwa nadra sana
Maybe once in 5 yrs
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Ni aina tu ya mwanaume hiyo.

Haujaeleza ukonaye kimahusiano kwa muda gani ili nitathimini aina ya ushauri ninaotaka kuutoa.

Kama upo katika penzi jipya, kaa vumilia ili uuone 'mchezo' kwanza.

Saazingine ni hulka yake ambayo ukiiishi waweza kuizoea baadaye.

Mvizie siku mkianza kusemezana, mchane live kuwa huo upumbaf wake hauvumiliki, na siku akirudia asije kukulaumu.
 
HANA HAJA NA WEWE HAKUHITAJI

Hajataka tu kusema ila ukweli huyo mwanaume ameshaamua ku move on, wanaume wengi wana tabia ya kuwaacha wanawake bila wanawake wenyewe kujua kwamba wameshaachwa, hadi mwanamke anapofikiri kwamba nimechoka na huyu mwanaume ‘anaamua kumwacha mwanaume’ kumbe hajui yeye tayari alishaachwa siku nyingi,
 
Sawa basi tumeachana namna hiyo Hakuna wa kujishusha
 
Ni aina tu ya mwanaume hiyo.

Haujaeleza ukonaye kimahusiano kwa muda gani ili nitathimini aina ya ushauri ninaotaka kuutoa.

Kama upo katika penzi jipya, kaa vumilia ili uuone 'mchezo' kwanza.

Saazingine ni hulka yake ambayo ukiiishi waweza kuizoea baadaye.

Mvizie siku mkianza kusemezana, mchane live kuwa huo upumbaf wake hauvumiliki, na siku akirudia asije kukulaumu.
Mahusiano ya miezi 4
Wa 5 ndio huo hatusemeshani
 
Ckuiz watu Wana ego za kijinga sana especially wanawake.
Sasa unakuta wewe ndo umemnunulia simu,umemuunga bundle na vocha ila amekaa tu anasubiri wewe ndo uanze kumtafuta
Hakuna alicho provide kwangu zaidi ya nauli ya kumfuata na kunirudisha labda na hela ya kula aliyokuwa akitoa nilipokuwa kwake hata hivyo chakula tulikula wote sijala mwenyewe
 
Back
Top Bottom