Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Shem Seran , U gain nothing there. Its years of wasting time.

Anyway ni kama sisi wanywaji bia na wapenz wa Football.
We Enjoying wasting time and Money.
Part of our life.

Tuachane na hayo.
Ila Pray for that good guy. Just keep on praying .

He will meet you down on the road.
Well said shemeji!
Not wasting time bn
Hata hivyo tunaishi mara moja🌝
 
Tasnia ya mapenzi inahitaji ubunifu binafsi.
Kamwe usiishi kwa kucopy mahusiano ya wengine.
Wanaume tumetofautiana sana!
Nakubali kila mtu ana namna anaendesha mahusiano but kama mwanaume anakupenda ananyooka sipendi hiki sitaki hiki ila sio kimyakimya without a word
 
Hueleweki.
Na Hii story ni ya kutunga.

Na Unapotezea watu muda.
Huna stand coz sio uhalisia.
( miaka 3 ulikuwa mwanaume, Mwaka huu ni mwanamke)

Uwe na staha bro.
TOA ushaurii kwa sasa hivi mambo ya Miaka 3 yatakusaidia nini.. mtu anahitaji tiba unaanza kumwambia mbona tulikupa tiba mwaka 2010.. kwani watu wanaugua mara moja tu maishani
 
Si mimi nampenda lakini yeye hajui anataka nini anyway labda hajakutana na anaemtaka
Umejuaje kua yeye hajui anataka nini?

Huyo kisha kutema jiongeze,halafu wewe unaonekana ni mtu usiyejiamini na huna msimamo,ndio maana amekudharau kiasi hicho,

Alishakusoma toka kitambo sana,na sasa amefikia maamuzi tayari.
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Unataka kumpandisha cheo yule jamaa wa kazini ?
 
Kwa namna ulivyoliweka hili tangazo lako basi niseme tu wewe dada ni mbunifu sana, kirahisi rahisi uwezi gundua kama hili ni tangazo.
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Yaani wnwake bn mnataka kila wakati mchati kama watoto tuko bize tuntafuta ela
 
Back
Top Bottom