Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Hueleweki.
Na Hii story ni ya kutunga.

Na Unapotezea watu muda.
Huna stand coz sio uhalisia.
( miaka 3 ulikuwa mwanaume, Mwaka huu ni mwanamke)

Uwe na staha bro.

Hakuna kosa amefanya wala mimi sijafanya kosa kosa limefanywa na mtu wa katikati yetu ila linamuhusu yeye na alijua kabisa ila akanyamaza kama Hakuna kilichotokea nikasema wacha nimpe siku kadhaa atasema neno ila hakuna kitu nikaona Nipigi kimya na yeye akapiga kimya kesho tunafunga mwezi 😌😌
 
Shem Seran 😁😁😁 mahusiano ni balaa... nakuombea Mungu upate mtu sahihi wa kujenga familia nae.

Pray hard, maana good Man is hard to Find.

Alaf series zitakupoteza. Hakuna uhalisia kule Shem. Utulie 😂😂😂😂😊
 
Dah ni ku-pray deep kupata genuine guys sikuizi ni kivumbi na jasho🥵

Hao good men wenyew hawawi single mpk tuwagombaniee😂

Sipotei shemela, si kujifurahisha tuu mwee😆
 
Dah ni ku-pray deep kupata genuine guys sikuizi ni kivumbi na jasho🥵

Hao good men wenyew hawawi single mpk tuwagombaniee😂

Sipotei shemela, si kujifurahisha tuu mwee😆

Shem Seran , U gain nothing there. Its years of wasting time.

Anyway ni kama sisi wanywaji bia na wapenz wa Football.
We Enjoying wasting time and Money.
Part of our life.

Tuachane na hayo.
Ila Pray for that good guy. Just keep on praying .

He will meet you down on the road.
 
Back
Top Bottom