Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Wewe ni Me ama Ke???

🤣🤣🤣🤣🤣
 
Kosa lako unalijua sema kama ilivyo kawaida ya wanawake mara zote mwenye kasoro ni mwanaume. Kama unahitaji kusulujisha ilo suala lenu mfate anapoiishi muongee face to face
 
Uzoba na umbumbumbu wa mapenzi unaanza na ID yako.
Endelea kubaki kwenye jela ya mapenzi panakufaa zaidi.
Halafu kuachaacha wanaume ni chanzo cha umalaya na usingle mother...!
 
Mwanaume amefanya kosa ila hatak kuomba msamaha.
Kuna vitu viwili hapo naona

1. Had kumfungulia Uzi. Bado unampenda na umeshindwa kuhandle na kumove on.

2. Ila yeye sasa Amechoka na mahusiano yenu. Yuko 50/50. Ww ukijishusha mtaendelea na ww ukikaza mtaachana. Hana shida kwenye hilo.

Ushauri:-
Kama kosa linasameheka. Na ww bado una muhitaj. Bas jishushe ww ili muendelee. Huku unajipanga kuanzisha mahusiano mengne taratibu.
(Kwasasa ukifanya haraka unaweza kuishia kuchagua mwanaume asiye sahihi ili tu upone na kumkomoa yeye. )

Na pale Ukipata mtu sahihi. Bas ule udhaifu wako kwake utaisha na unamrudishia silent treatment. Una ignore had mahusiano yanaisha.

Cc
Shemej Gmorning na uwe na Siku njema Seran
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Safi sana kama wanaume wameanza kugundua njia Bora ya kuwakomesha wanawake
 
Ladyboy 😁
IMG-20250807-WA0000(1).jpg

Unajua naweza kukupiga huku natafuna bigijii?🤔
 
Mwanaume amefanya kosa ila hatak kuomba msamaha.
Kuna vitu viwili hapo naona

1. Had kumfungulia Uzi. Bado unampenda na umeshindwa kuhandle na kumove on.

2. Ila yeye sasa Amechoka na mahusiano yenu. Yuko 50/50. Ww ukijishusha mtaendelea na ww ukikaza mtaachana. Hana shida kwenye hilo.

Ushauri:-
Kama kosa linasameheka. Na ww bado una muhitaj. Bas jishushe ww ili muendelee. Huku unajipanga kuanzisha mahusiano mengne taratibu.
(Kwasasa ukifanya haraka unaweza kuishia kuchagua mwanaume asiye sahihi ili tu upone na kumkomoa yeye. )

Na pale Ukipata mtu sahihi. Bas ule udhaifu wako kwake utaisha na unamrudishia silent treatment. Una ignore had mahusiano yanaisha.

Cc
Shemej Gmorning na uwe na Siku njema Seran
Hiyo ni kawaida sana siku hizi mpo kama hampo finally kila mtu anajifunza kuchukua timez zake😅

Sema mahusiano yakikuingia moyoni yanawazisha sana shemeji! Mahusiano ni magumu🫢 uwe na siku fupi huko!
 
Mizinga ya kuombwa pesa kila siku inachosha , sio kununa ni kuchoka na kujikalia kimya tu,sikuombi hauniombi full stop.
Kwamba utakayeenda kumpata baada ya mimi ndo atakuwa perfect haombi hela?
 
Wajinga wajinga ndio huomba pesa hovyo hovyo pasipo kuja na mikakati ya kuzitengeneza hizo pesa ili awe anajichotea tu mwenyewe.
 
Habari za usiku

Mimi napitia changamoto ya kimahusiano. Tumenyamaziana na mwanaume niliyekuwa na mahusiano hii ni week ya 4.

Kusema ukweli sina kosa lolote nililolifanya ila ni yeye ndio alikuwa na vitu alipaswa kuniambia (siwezi kuviweka hapa maana mhusika anaweza kuwa humu)

Nilijipa siku 3 za kujipendekeza kumtafuta kila siku ni mimi naanza nilivyomaliza hizo siku 3 nikauchuna; huwezi amini na yeye akakaa kimya ni ku-view status na ku-like. Hakuna kuongeleshana

Sihitaji kumtafuta.. na kama hatonitafuta nitafanya maisha yangu

Sasa nauliza; tumeshakaa mwezi hatuongeleshani - je naweza kuanzisha mahusiano mapya au bado mapema?
Yeah, fanya maisha yako.
 
Back
Top Bottom