Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Tumeshakaa mwezi hatuongeleshani. Nianzishe mahusiano mapya au bado mapema?

Kuna kitu kilitokea mkuu then hajakisolve wala kusema chochote a naongea na mimi kama vile Hakuna kilichotokea

Mimi kumtafutaa ni kama kujipendekeza ni kama hanitaki tu
Unakuta na yeye kimoyomoyo anatamani akutafute ila anajizuia, anatamani wewe ndo uanze kumtafuta,

Mkiendelea hivi mmoja asipojishusha, mwishowe wote mnasahauliana
 
1. Inawezekan ameamua kuchagua upande sahihi yawezekana unataka kuwa juu yake katika mazungumzo (manake una kiburi)

2. Inawezekana yeye ana kiburi sana anaona hamtawezana

3. Inawezekana ana mahusiano mengine yanayompa kiburi

4. Inawezekana humpendi au hauna roho ya kupenda

5. Inawezekana mmoja wenu ana unafiki katika mahusiano (maigizo katika mahusiano)

6. Inawezekana kila mmoja ana usiri wake ambao hataki mwenzake ajue (hamtaki kuwekana wazi)

7. Inawezekana mmoja wenu kayumba kiuchumi

8. Tatizo lenu kila mmoja amejikita kutafuta mabaya ya mwenzake, hivo lazima mziriane

USHAURI WANGU

1. Kama wewe ndo una matatizo, jirekebishe kabla hujamletea mwingine matatizo

2. Kama hutaki ndoa, fanya pupa kutafuta mwingne

3. Kuwa busy kutafuta na kujiongezea kipato

4. Kama una pupa hakikisha unayemtafuta hana matatizo kama ya yule wa mwanzo

5. Jirekebishe la sivyo body counting itakuwa kubwa sana

6. Punguza unafiki katika mahusiano.
 
Unakuta na yeye kimoyomoyo anatamani akutafute ila anajizuia, anatamani wewe ndo uanze kumtafuta,

Mkiendelea hivi mmoja asipojishusha, mwishowe wote mnasahauliana
Basi tu na iwe hivyo kwasababu yeye alipaswa kunitafuta maana ndio sababu ya changamoto sasa kama hataki kuwa responsible ni bora kila mtu apite hivi
 
1. Inawezekan ameamua kuchagua upande sahihi yawezekana unataka kuwa juu yake katika mazungumzo (manake una kiburi)

2. Inawezekana yeye ana kiburi sana anaona hamtawezana

3. Inawezekana ana mahusiano mengne yanayompa kiburi

4. Inawezekana humpendi au hauna roho ya kupenda

5. Inawezekana mmoja wenu ana unafiki katika mahusiano (maigzo katika mahusiano)

6. Inawezekana kila mmoja ana usiri wake ambao hataki mwenzake ajue (hamtaki kuwekana wazi)

7. Inawezekana mmoja wenu kayumba kiuchumi

8.tatzo lenu kila mmoja amejikita kutafuta mabaya ya mwenzake, hvo lazima mziriane

USHAURI WANGU

1. Kama wewe ndo una matatzo, jirekebishe kabla hujamletea mwingne matatzo

2. kama hutaki ndoa, fanya pupa kutafuta mwingne

3. kuwa busy kutafuta na kujiongezea kipato

4. kama una pupa hakikisha unayemtafuta hana matatzo kama ya yule wa mwanzo

5. jirekebishe la sivyo body counting itakuwa kubwa sana

6. punguza unafiki katika mahusiano.
Sawa.. ila yeye ndio kaleta matatizo
 
Unaonekana ni mnyonge wake mkuu. Wenzako wasiojali wangeshafuta hadi namba.
Naamini mpaka unafuta namba ya mtu, inamaanisha bado unajali ila unajikaza usionekane mnyonge

Kama kuna kadada kamoja kana tabia izo, nsipomtafuta hanitafuti, kila siku shobo nianze mimi, kiuhalisia kibinadamu inauma kila siku wewe ndo umtafte mwenzio, mwenzio hata hainui kidole kukukumbuka, hapa najifanya mjinga ajichanganye nile mzigo, baada ya hapo mbona atafurahi mshamba_hachekwi
 
Wewe ni Me ama Ke???

 
Wewe ni Me ama Ke???

Ladyboy 😁
 
Wewe ni Me ama Ke???

Harmophrodite
 
Back
Top Bottom