Mlundilwa Jr
JF-Expert Member
- Dec 11, 2019
- 3,465
- 5,438
Hivi nasisi tulio single tunaruhusiwa kukoment
Uyu kwenye room yake quna dressing tableMwaka juzi alikuwa na demu, mwaka huu bwana kamuacha
Umelipia tangazo mkuuHivi nasisi tulio single tunaruhusiwa kukoment
Tangazo who? Tangazo which?Umelipia tangazo mkuu
Unaquaje single wakati pc ni za kumwagaTangazo who? Tangazo which?
Matapeli haoUnaquaje single wakati pc ni za kumwaga
Kumbe na wewe umemshitukia mkuu 🤣Mwanaume kujilazimisha kuact kama mwanamke ni kazi sana. Umekuja na namna nzuri eti unaweza kumove on ili wajinga wengi waliojaa humu jamiiforum waingie mkenge
Futa no anzisha husiano jipya tuko nnje ya muda.Mwezi mmoja sasa yupo kimya anaweka status anaview zangu na like juu yaani ni first viewer kwenye status zangu ila ku Nicheck kipengele
Sawa dearFuta no anzisha husiano jipya tuko nnje ya muda.
Hahahah kuanza niniHii ni both team to score dakika ya 70 anza wewe kisha nae atamaliza tu
Hehehe noma sanaWeek 4 nyingi sana, kakuacha hajakunyamazia, akishindwa alipo au akiikumbuka papuchi atarudi kuipiga , njoo pm
You are GAY.Who is gay??
bs usjihangaishe kukurupukia mtu mwngne fanya namna yoyote urud kwny furaha yako ambaye n yeye..Nampenda ila hanipendi