Tumeshambulia maeneo ya miundombinu ya nyuklia ya Iran - IDF

The Zanzibar Echo

JF-Expert Member
Joined
Apr 21, 2025
Posts
490
Reaction score
838
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran.

Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti.

Iliongeza kuwa pia ilishambulia "maeneo zaidi yaliyolengwa" ambayo "yaliendeleza juhudi za serikali ya Iran kupata silaha za nyuklia na ambapo serikali ya Iran ilificha hazina yake ya nyuklia".

Awali, Shirika la Udhibiti wa Nishati ya Atomiki la Iran lilifahamisha Shirika la Kimataifa wa Nishati ya Atomiki kuwa viwango vya mionzi nje ya eneo la nyuklia la Isfahan havijabadilika.

Haya yanajiri baada ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki kuthibitisha kuwa "majengo manne muhimu" yameharibiwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel
 
IRAN kashaingia ndajni ya 18 za wenyewe- maji atayaita mma.

Mwarabu na vita wapi na wapi shekh wangu.
 
Vikosi vya Ulinzi vya Israel vilisema kuwa vimefanya mfululizo wa mashambulizi katika maeneo ya miundombinu mjini Tehran yanayohusiana na mpango wa nyuklia wa Iran.

Jeshi linasema maeneo lengwa ni pamoja na makao makuu ya wizara ya ulinzi ya Iran na Shirika la Ubunifu na Utafiti.

Iliongeza kuwa pia ilishambulia "maeneo zaidi yaliyolengwa" ambayo "yaliendeleza juhudi za serikali ya Iran kupata silaha za nyuklia na ambapo serikali ya Iran ilificha hazina yake ya nyuklia".

Awali, Shirika la Udhibiti wa Nishati ya Atomiki la Iran lilifahamisha Shirika la Kimataifa wa Nishati ya Atomiki kuwa viwango vya mionzi nje ya eneo la nyuklia la Isfahan havijabadilika.

Haya yanajiri baada ya Shirika la Kimataifa la Nishati ya Atomiki kuthibitisha kuwa "majengo manne muhimu" yameharibiwa na mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel
Radiation imeanza kutawanyika kama ilivyo kuwa pigo la Hiroshima, na watu wame panick na wanaji-exile for safety
 
Back
Top Bottom