Daraja la Mabatini Mwanza. Jamaa kajirusha. Inasemekana jamaa alikuwa akimsomesha mchumba wake Mwanza. Sasa aliamua kuja kumtembelea akakuta hakuna cha chuo bali kakuta kumbe binti keshaolewa na ameshazaa ana mtoto. Jamaa hakuwa na kifua akaishia kuamua hivyo alivyoamua.
Ukiamua kusomesha (au kuwekeza cho chote) kwa mpenzi/mchumba wako basi fanya hivyo kwa upendo na usitegemee cho chote in return maana wakati wo wote mambo yanaweza kubadilika. Na daima tambua kwamba uwekezaji wako huo siyo tiketi ya kukubalika naye. Nunua hata magari. Somesha sana mpaka Ph.D. Jenga hata majumba lakini ukweli ni kwamba unaweza kupigwa chini wakati wo wote mpenzi wako akiamua (na hii ni kwa jinsia zote!)
Ni hayo tu wananzengo!πΆπΏββοΈπΆπΏββοΈπΆπΏββοΈ
Kuna msukuma kakomalia hawezi kuruka. Acha afe wajinga ndio waliwao. Uzuri najua hajafa ila ameumia sana, hio ndio safi aone maumivu ya ujinga mbili. Ujinga wa kwanza kusomesha na ujinga wa pili kutaka kujiu. Wakibiwa hapa wanadai sisi wakulungwa hatuna mapenzi. Mapenzi ya nyoko, hata Emmanuel Joseph ( Yesu) hakuyataka