Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

Kuna msukuma kakomalia hawezi kuruka. Acha afe wajinga ndio waliwao. Uzuri najua hajafa ila ameumia sana, hio ndio safi aone maumivu ya ujinga mbili. Ujinga wa kwanza kusomesha na ujinga wa pili kutaka kujiu. Wakibiwa hapa wanadai sisi wakulungwa hatuna mapenzi. Mapenzi ya nyoko, hata Emmanuel Joseph ( Yesu) hakuyataka
Kristo Yesu ndio jina lake Yeye Ni Mungu aliyetuumba sisi . Sasa na mapenzi wap na wap tafuta mifano mingine hii ya hivi unajipalia TU makaa mwenyewe na wanao
 
Mpenzi sio mama yako ambae atasimama na wewe siku zote za maisha yake, mpenzi ana mamlaka ya kusitisha mahusiano muda wowote bila kujali umejitoa kwa kiasi gani kwake na hakuna kitu utamfanya. Chonde chonde kijana mwenzangu usimuinue mwanamke kiuchumi wala kielimu au pale utakapoamua kufanya ivyo basi fanya kwa kiasi ambacho utaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza..
 
Mpenzi sio mama yako ambae hatasimama na wewe siku zote za maisha yake, mpenzi ana mamlaka ya kusitisha mahusiano muda wowote bila kujali umejitoa kwa kiasi gani kwake na hakuna kitu utamfanya. Chonde chonde kijana mwenzangu usimuinue mwanamke kiuchumi wala kielimu au pale utakapoamua kufanya ivyo basi fanya kwa kiasi ambacho utaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza..
Kuna watu muna roho MBAYA
😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom