Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

baada ya upembuzi yakinifu hii nayo tulikataa!
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Daaaah aiseeee hvi mnatumiaga nini lakini.....
 
kwanini mkuu..
Nawaza huo upembuzi yakinifu ulifanyika vipi mpaka mkakataa na sababu za kukataa zilikua nini πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Kuna msukuma kakomalia hawezi kuruka. Acha afe wajinga ndio waliwao. Uzuri najua hajafa ila ameumia sana, hio ndio safi aone maumivu ya ujinga mbili. Ujinga wa kwanza kusomesha na ujinga wa pili kutaka kujiu. Wakibiwa hapa wanadai sisi wakulungwa hatuna mapenzi. Mapenzi ya nyoko, hata Emmanuel Joseph ( Yesu) hakuyataka
Dan Brown anadai Maria mangada alikuwa chombo cha Emma Jose

M
 
Mambo yote katika MAISHA unapomfanyia MTU usiweke matarajio kuwa huyo MTU atakulipa chochote in return .

Anayekulipa sio yule uliyemsaidia Ila ni mfumo wa MAISHA wenyewe unafunguka na kuwa upande wako.

Expectations is hell
 
Ni sawa na kutuma nauli badala ya kumkatia kabisa online kuna mtu keshapigwa kama mara tatu kichwa kigumu
 
Yaaan ngoja wanyangende tusiipate mkuu .
Uta trend tuu "" VISHU MTATA WA JF KACHAFUA HALI YA HEWA """ πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Aaah wapi, ikitrend basi rasmi nakua mcheza porn.
 
Aaah wapi, ikitrend basi rasmi nakua mcheza porn.
Vishu mtata.... Wee subiri itakua mwisho wako.....
Mana kuna mwenzko nae humu humu tumepata video yake...
Daaah aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Vishu mtata.... Wee subiri itakua mwisho wako.....
Mana kuna mwenzko nae humu humu tumepata video yake...
Daaah aiseee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Nyie pateni tu mi sijari wala nini
 
yaani mtu ukosee mara ya kwanza na anafanya kosa la pili kutaka kujiua kwamba demu ni mmoja au kajionaje..... kuna wanaume tunafeli sana asee unasomesha mchumba kwamba stori za miaka ya nyuma hazikumpa funzo au alijikuta joji of ze jango
 
Ukiamua kusomesha (au kuwekeza cho chote) kwa mpenzi/mchumba wako basi fanya hivyo kwa upendo na usitegemee cho chote in return maana wakati wo wote mambo yanaweza kubadilika. Na daima tambua kwamba uwekezaji wako huo siyo tiketi ya kukubalika naye. Nunua hata magari. Somesha sana mpaka Ph.D. Jenga hata majumba lakini ukweli ni kwamba unaweza kupigwa chini wakati wo wote mpenzi wako akiamua
Hii elimu uwezi fundishwa darasani mkuu, wasipoelewa basi watakutana nayo live bila chenga.
 
Back
Top Bottom