Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

Yeye kafa, ila demu muda huu anaomba kitambaa ajifute manii, maana ndio round ya kwanza imeisha.

Hivi mnaojiua ni kwamba hamnaga malengo? Unajiuaje sababu ya nyakwa?
 
Yeye kafa, ila demu muda huu anaomba kitambaa ajifute manii, maana ndio round ya kwanza imeisha.

Hivi mnaojiua ni kwamba hamnaga malengo? Unajiuaje sababu ya nyakwa?
Tumia tafsida kaka πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚ khaaa
 
Mwanaume huyo huyo anayesema hawezi kumsomesha mchumba, ndio mwanaume huyo huyo aliyemnunulia mwanamke iphone, anamwekea bundle kila siku, anayelipia gharama za kila wiki za saloon na kutengeneza kucha, analipia kodi ya nyumba ya mchumba, anayemnunulia nguo na mapambo na mwisho ndio anayempatia pesa ya chakuka, nauli na mitoko.

Kifupi ni mwanaume mpumbavu anayejifariji kwa ujinga.
 
Jinsi uonavyo mbugani wanyama wanavyowindana ndivyo pia Binadamu wajinga huwa ngazi na fursa kwa wengine, "dunia uwanja wa fujo"

Ubinadamu ni kazi/The humanity is a work.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…