Tumeshaonywa Tena na Tena: Mpenzi au Mchumba Hasomeshwi!

Kristo Yesu ndio jina lake Yeye Ni Mungu aliyetuumba sisi . Sasa na mapenzi wap na wap tafuta mifano mingine hii ya hivi unajipalia TU makaa mwenyewe na wanao
 
Mpenzi sio mama yako ambae atasimama na wewe siku zote za maisha yake, mpenzi ana mamlaka ya kusitisha mahusiano muda wowote bila kujali umejitoa kwa kiasi gani kwake na hakuna kitu utamfanya. Chonde chonde kijana mwenzangu usimuinue mwanamke kiuchumi wala kielimu au pale utakapoamua kufanya ivyo basi fanya kwa kiasi ambacho utaweza kustahimili maumivu ya kukipoteza..
 
Kuna watu muna roho MBAYA
πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…